Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

Dr Akili nakiri una akili kweli kweli

Tumeambiwa idadi ya vituo ni 62,000

Kama kila kituo kitakuwa na watu 1,250 kama unavyodai

Kwa vituo 62,000 idadi ya watu itafikia 77,500,000.

Ninavyojua Tanzania ina watu 48,000,000 (vichanga hadi vikongwe)

Je hao watu wa ziada 29,500,000 watatoka wapi?

Tujaribu kutumia akili tunapotoa hoja.

Huyu mleta mada alifundishwa hesabu na bosi mlugo.
Ila ninaamini kama makundi hasimu ya vyama mbali mbali yatakaa pamoja kulinda kura uwezekano wa kutokea rabsha na vurugu kati yao ni mkubwa.

Watu washaanza kupigana visu bila sababu za msingi.
 
Last edited by a moderator:
Dr Akili nakiri una akili kweli kweli

Tumeambiwa idadi ya vituo ni 62,000

Kama kila kituo kitakuwa na watu 1,250 kama unavyodai

Kwa vituo 62,000 idadi ya watu itafikia 77,500,000.

Ninavyojua Tanzania ina watu 48,000,000 (vichanga hadi vikongwe)

Je hao watu wa ziada 29,500,000 watatoka wapi?

Tujaribu kutumia akili tunapotoa hoja.


hao watu wengine ni mapepo ya DODOMA yakiongozwa na mganga wao NAPE
 
Nani Kakuambia tutazunguka kituo? Sie tutakaa pembeni kusubiri matokeo
 
Ila ninaamini kama makundi hasimu ya vyama mbali mbali yatakaa pamoja kulinda kura uwezekano wa kutokea rabsha na vurugu kati yao ni mkubwa.
Mbona tunapoteza kumbukumbu

Mwaka 2010 watu walilinda kura

Mbona hakukuwepo na vurugu?

Je wanaposimama kwenye mstari

Wakisubiri kupiga kura

Mbona hakuna vurugu

Na walipokesha kwenye vituo vya kujiandikisha

Mbona vurugu hazikutokea?
 
Mbona tunapoteza kumbukumbu

Mwaka 2010 watu walilinda kura

Mbona hakukuwepo na vurugu?

Je wanaposimama kwenye mstari

Wakisubiri kupiga kura

Mbona hakuna vurugu

Na walipokesha kwenye vituo vya kujiandikisha

Mbona vurugu hazikutokea?


Wameshachanganyikiwa , kula inawatoka na nafasi ya kufanya manyago yao haipo ,

PRESSURE MPAKA MAKALIONI , TEHTEHTEHH
 
Kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450, kwa nini vijana wanaokizunguka wawe 1250? Au we gamba unaleta propaganda?

Wanafika 1450 na kuzidi yuko sahihi.
Kituo ni chumba cha kupigia kura.Kuna vituo viko shule za msingi.Unakuta jengo la shule lina madarasa 10 kwa mfano ina maana pana vituo 10.Kama kila kituo kina watu 450 ina maana wapiga kura ni 4500.Sasa wote hao wakimaliza kupiga kura jengo hilo la shule litazingirwa hizo mita mia 200 na watu 4500.

Ndio maana ikatamkwa watu wakipiga kura waende kwao.Wakizunguka umati wote huo watakunya na kukojoa wapi?
 
Wengi wanaotokwa povu humu wanatufanya hatuwajui CCM na Umafia wao wakisaidiwa na Polisi. Mita 200 una uwezo wa kumuona mtu yeyote unayemtilia mashaka akija kituoni na kutaka kuleta visivyofaa! Narudia tena, CCM ni ileile, umafia wao ni uleule hata mawakala wakiwa wachungaji au mashehe!
 
Kila kituo kitakuwa na 450 voters... na kati ya hao, say 50% ni wanawake...

So, kutakuwa na vijana au wanaume 200 hivi kila kituo kulinda kura, mita 200 kama sheria inavyotaka... hakutakuwa na fujo sbb wote wamevaa nguo sio za vyama...!! Wala hawakuwa na bendera au scuf za vyama...!!
 
Kwa kweli mimi sijaelewa unacho manisha,ingawa kwenye takimwi za vijana haiwezekani CCM wawe na vijana wengi kuliko CDM.
 
Kura 450 unahesabu unatangaza kabla ya saa 12 jioni kwaiyo watu watakuwepo kwenye vibanda wakila chakula wakisoma magazeti na watarudi saa 12 kusoma
 
Mnakojoaje nyie watu ifahamike siku hiyo ni jumapili watu wanapiga kura wanarudi home kwa kupishana kisha muda fulani wanarudi kusikiliza matokeo na kuyasoma sasa mnaogopa nini ccm
 
Wewe fikiria eti vijana 500 wa UKAWA, 700 wa CCM na 50 wa ACT watakuwa wamekizunguka kila kituo cha kupigia kura hapo tarehe 25 Oct kuanzia saa mbili asubuhi hadi kesho yake wakilinda kura za vyama vyao visirubuniwe! Vijana hawa ambao kwa vyo vyote vile wengi wao watakuwa ni wale wasio na kazi (jobless), wakiwemo wavuta bangi, watumiaji wa viroba haramu (gongo), vibaka n.k. Watakuwa wameweka uzio mita 200 toka kituo cha kura. Hakuna huduma choo wala nyingine yo yote kuwahudumia vijana hawa.

Sasa tunaaminishwa kwamba kwa hali hiyo moto hautawaka kweli? Hili wala si jambo la wanasheria, ni suala la usalaama wa wananchi na halina mjadala.

Kwani wewe unaamini watu wote 450 watabaki hapo vituoni? Kwanza waccm hawatobaki hapo, wafanyakazi wengi hawatobaki, wazee wengi hawatobaki, wanawake wengi hawatobaki
 
Ukawa toeni elimu ya nini kinachofanyika ndani ya kituo msikimbilie kuwashawishi kulinda kura.waelewesheni wapiga kura.msiwaaminishe na kumbukeni jamii itawaelewa sivyo ndivyo

Ikumbuke kura za maoni (ccm) na za serikali za mitaa na vijiji, zilikuwa sarakasi za dhuluma na wizi wa kura. Je hizi ndo zitakuwa salama bila kuingiliwa na vibaka wa ccm
 
kwani huo moto ndio umeuona leo, na mbona miaka mingine haukutokea wakati tulilinda kura kwa staili hii hii mnayoikataa leo?

my take: ACHA UNAFIKI.
 
Back
Top Bottom