Tusichanganye ubahili na kubana matumizi

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Kumekuwa na upotoshwaji wa dhana na matumizi hasa ya neno "KUBANA MATUMIZI".

Kubana matumizi ni kuelekeza hela kwenye njia sahihi iliyothibitiwa (controlled proper channels).

Ubahili ni kukalia hela mfukoni (ili zizaliane) wakati ndani kuna njaa, watoto wanakosa ada, watoto wanaumwa hauwapeleki hospitali nk.

Tuelewe hiyo dhana,

Tuache ushabiki
 
Back
Top Bottom