Tusiache tamaduni zetu!!!!!!!!!!!!!!!

ameline

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
2,292
1,149
[h=3]TUSIACHE TAMADUNI ZETU!!!!!!!!!!!!!!![/h]

ZULU TRADITIONAL DRESS

GAMBIA TRADITIONAL DRESS

SENEGAL TRADITIONAL DRESS

TANZANIA TRADITIONAL DRESS

GHANA TRADITIONAL DRESS

GHANA TRADITIONAL DRESS
Mila na desturi hujengwa na hukomaa,hurithishwa kutokana na kizazi kimoja hadi kingine na pia huweza kufifia na kupotea.kuna haja ya kuwa na sera ya utamaduni ili tusiache tamaduni zetu.
 
natural bwana, chochote natural lazima kivutie, sipat picha hapa bongo tungekua na hilo vazi duuuu!!!

Ingekua full mzuka tuu...Vazi la Saa Nne asubuhi, Saa sita mchana, Na yale yaliolala jioni!
 
We mleta uzi mbona mi naona kama umeongopa vile!?
Hivi kweli Tanzania tuna national dress? tangu lini.... Wapi inavaliwa hiyo.
Tuna national dress kama hiyo kwenye picha? siyo uwongo huu?

Mara kumi ungeweka kitenge au kanga chini na juu kwa mwanamke basi; wakati
ya mwanamume ndo hata sijui ni nini yaani... mgolole mweupe? hii hapa chini uongo huu...

untitled.JPG
 
Na hizi kopo za NIDO zinaangushwa makusudi? Naona zinabanwa na shanga ili zisisimame!
 
We mleta uzi mbona mi naona kama umeongopa vile!?
Hivi kweli Tanzania tuna national dress? tangu lini.... Wapi inavaliwa hiyo.
Tuna national dress kama hiyo kwenye picha? siyo uwongo huu?

Mara kumi ungeweka kitenge au kanga chini na juu kwa mwanamke basi; wakati
ya mwanamume ndo hata sijui ni nini yaani... mgolole mweupe? hii hapa chini uongo huu...

View attachment 82444

khaaa!! jamani hebu angalia kwa makini please usilaumu na kulalamika bila sabab., picha ipo baada ya maneno, kama zinakuchanganya anzia chini kwenda juu utaona,... pooole
 
Back
Top Bottom