Na masaburi yatakayouliziwa hapa si ni ya kina mama? Ukiulizia ya invizibo si unajitafutia ban?asee hommie hapo nimejua saizi yake tu.......hivi tunaruhusiwa kuwauliza hapa jamvini kila mmoja aelezee masaburi yake bila kula ban?

katika kiungo ambacho kila jina linafit ni makalio.....manake wengine wanaita tukunyema,wowowo,ngongingo,inye,mkia,wezere,bomole che,....leo masaburi!!!mmmh!kweli lugha inakua
Na masaburi yatakayouliziwa hapa si ni ya kina mama? Ukiulizia ya invizibo si unajitafutia ban?

Vipi masabuli ya Kichina
Kwasababu masaburi ya kinadada ni chachu na mvuto kwa kinababa kimapenzi........... nadhani tukafanyie hii kolabo kwenye jukwaa pendwa....MMU. MJ1, Cheusimangala, Kerren Hapuch, Nyamayao, Preta wameshaamka?........ Ngoja nimwamshe Klorokwini tumshirikishe..... Usimstue Mbu, ataharibu.Of course ni ya kina dada/mama......kwa mujibu wa katiba yetu mama, ni marufuku kuulizia masaburi ya mwanaume mwenzio aliye rijali kabisa....sasa hebu nipe mwongozo tuanzishe sredi ya collabo na iwe jukwaa gani?

Na masaburi yatakayouliziwa hapa si ni ya kina mama? Ukiulizia ya invizibo si unajitafutia ban?
Nimekuitika laaziz, vipi kwema huko? I hope someone is not watching manake watu wengine wamebahatika kuwa na wivu lol

Aisee ODM nakusalimia

Ngoja masaburi awasikie

Nimekuitika laaziz, vipi kwema huko? I hope someone is not watching manake watu wengine wamebahatika kuwa na wivu lol
Hapana... ODM anakagua matiti kama kawaida yake.......Masaburi wanakagua mahomuboi zangu Kaizer, Bigirita, Mentor na Kimey.

Hapa kwema mpenzi,naona unataka kubadili aina ya ukaguzi lol

Hapana... ODM anakagua matiti kama kawaida yake.......Masaburi wanakagua mahomuboi zangu Kaizer, Bigirita, Mentor na Kimey.

masaburi yako! lol

limekaa kimodern,haliumizi kama mengine, ni rahisi kulitamka mie nimelipenda!,,,,,hata hapa JF nimeona limeanza kutumika bila kula BAN...lol

katika kiungo ambacho kila jina linafit ni makalio.....manake wengine wanaita tukunyema,wowowo,ngongingo,inye,mkia,wezere,bomole che,....leo masaburi!!!mmmh!kweli lugha inakua

Mkuu! Ukubwa au udogo wa masaburi yake wautakiani? Ha haaa!

hahaha!nimeipenda hii,kwa hivyo wale ambao umeshawakagua waelekee kwa hao watu?
nyooo masaburi yako!!!!!,umeiacha mada imepita ili uje unitusi huku?hunipati!
halafu sasa huyo masaburi mwenyewe ana bonge la masaburi