Natafuta App ya kupakua nyimbo toka YouTube, kuna wakati nilikua natumia Windows Phone na ilikuepo inaitwa YouTube Downloader baada ya kubadilisha simu hii app haipo tena, je kuna alternative? Pia niliwahi kuwa na Spycamera moja matata sana ila kila nikiitafuta tena siioni baada ya kubadilisha simu pia. Msaada wakubwa