Hakuna app Kali ya muziki kama POWERAMP.
cjawahi ona hata km earphone za 3000 huo mziki unaopigwaa hapoo huwez weka volume ya cm yote hata ufanyeje..!!!
Mi nmeishia 8 volume Kati ya 15.POWERAMP kiboko ya music beat.
NB had uroot cm
Mcheki kcamp kuna app alishauri wanajukwaa waitumie kwa simu za samsung. App nimeisahau jina ila wengi wana ROOT simu kwa kingroot v 4.8.0 google utaipata.
Wakuu naomba mwenye link ya hii app ya VideoFX Music Video Maker Pro Apk V2.3.7 naomba anisaidie tafadhali, ambayo niko NAyO ni limited version so kuna baadhi ya fx zipo locked until niwe na pro version.