Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android


Mkuu hii sports fire imekubali,vp quality ya picha hakuna sehemu ya settings zake?maana kwangu quality sio nzuri au itakuwa speed ya internet yangu ndyo shida
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Kuna apps nyingine inaitwa videorder matata sana
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Naomba kujua app nzuri ya kupima urefu. Mfano ukuta wa nyumba.
 
Kitu kama hicho mkuu sina uhakika ....kama hawana playstore basi watakuwa na store yao jaribu kuangalia tv yako
Kila smart TV ina OS yake kulingana na Company, isije kuwa anatumi kampuni ambazo wana mifumo yao mfano Apple smart tv hawana play store, na baadhi ya smart tv wana OS zao ambazo hazina mifumo endeshi ya android hivyo huwezi kuikuta playstore.

Tuwe tuna soma maelekezo ya Tv kabla ya kununua
 
Naomba link ya hii app
 
Hiyo application kama hutumii wi-fi connection achana nayo utanishukuru
 
Wakubwa hii app ya true call inasaidia nini kwenye simu?
Chief-Mkwawa
Kama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…