Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Font ipi ndugu, nyingi nilizojarbu znataka simu iwe rooted. Naomba specific jina la hiyo font nidownload.
me ckumbuki inaitwaje ila nlidownload alaf unazkuta nyingi uko alaf na zenyew unadownload 1moja alaf nkafuta iyo app yake ila zmebak 2 zina onekana ivi
d9a96a19016763a3922355207dbeb6b0.jpg
 
me ckumbuki inaitwaje ila nlidownload alaf unazkuta nyingi uko alaf na zenyew unadownload 1moja alaf nkafuta iyo app yake ila zmebak 2 zina onekana ivi
d9a96a19016763a3922355207dbeb6b0.jpg
ingia google andika com_monotype inakuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom