Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Updated with more features!


Biblia Takatifu - Android Apps on Google Play
b9ea1535de496ec2e516dc8e965e36c0.jpg
6792e596f99eecf97acbf6af3dab897e.jpg
a76c7734cdf9dcf53d9448dfa5242470.jpg
424e72a741252b91ab9c31235a8be5d4.jpg
3b74f42039001596d4a8e44ca38bdfe5.jpg
 
Mobilfreetracker.comacker="Riz Tha God, post: 17473864, member: 378870"]JAMANI MBONA MSAADA WA APP ITAYOWEZA KU TRACK SMS NA CALLS ZOTE ZA WATU WANGU KATKA PHONE YANGU SIPEWI WADAU MWISHO NAPEWA MINANGO TU! MAPIGO YA MOYO KWA NI CONSTANT DIFFERENTIATED SO JUST GIMME THAT APP
Www.Mobilefreetracker.con
Kama sijakosea web ukiingia utaikuta unaidownload na kuinstall.
Mobilefreetracker[/QUOTE]
Best of the best
 
Hiyo app kuifanya iwe premium kwanza simu iwe rooted kisha tumia lucky patcher with busy box kuifanya iwe premium mkuu.
simu yangu ipo rooted na apps za lucky na busy ninazo maelekezo kidodo nafanyaje hapo kuifanya premium
 
Simu yangu haiconect WhatsApp inasema network error lakini web zingine nafungua nimeclear data lakini hakuna tofauti
665ad14f4532d634ac453e32f7122a19.jpg

@hanspol
hata mimi hilo tatizo lishawahi kunikuta nilichofanya ni kudowload application nyingine play store then ikawa fresh
 
simu yangu ipo rooted na apps za lucky na busy ninazo maelekezo kidodo nafanyaje hapo kuifanya premium
Wewe fungua tu lucky patcher kisha tafuta hiyo go sms kisha long press itakuja menu ina vipengele mabali mbali kikiwemo na hicho cha kuifanya iwe premium

Hatua kwa picha
a0c8b1c089aa13ee6ade9de3576992f8.jpg


Long press gosms hadi ije menu hii
b2f4e053192f1816a945211d2a1e607b.jpg


Chagua custom patch
84abdd6184ae2beeab21aaddae9b8c0d.jpg



Chagua hiyo option ya kwanza au ya juu
714454b608c07ad6b0bd03c88849fe14.jpg


Chagua Apply kisha subiri ikimaliza funga lucky patcher kisha ka open hiyo gosms.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom