mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Ni kweli uki hide online notification,lakin sio wote wana hideNaeza nikawa online but mtu asijue ka niko online
Nenda google andika Gbwhatsapp apk downloadNaipataje hiyo gbwhatsapp, na je iko safe?
Samahani hiyo link ni updated au?
LinkSamahani hiyo link ni updated au?
Mambo vipi <br />Wapendwa <br />Msaaada jamani bhandugu Kama una whasap + 2;3;4 kama unayo nitumie link naombaSamahani hiyo link ni updated au?
Mambo VIP kaka naomba link ya WhatsApp + inakuwa kama GbwhatsApp
Sina link ya whatsapp+Mambo VIP kaka naomba link ya WhatsApp + inakuwa kama GbwhatsApp
mbona inagoma mkuu
Inagomaje sasa wakati kuna sehemu ya kudownload chinimbona inagoma mkuu