Tushauriane namna nzuri ya kuishi na mwanamke mwenye mtoto, na mawasiliano bado yapo kwa ajili ya mtoto wao

Huu ni UFALA (in Mzee wa Upako's voice)....tatizo vijana wengi hamjitambui sasa wewe umeoa au kuolewa huyo X wako alikuwa wapi hasikuowe kama bado mnahisia kati yenu? Waliojitambua hawapati shida kama hizi.X anabaki kuwa X ili kutunza thamani ya Mume au Mkeo.
So sio kweli eti kisa X ndio mkikutana lazima mkumbushie ukiwaona wa hivyo hao asili yao ni UZINZI na wanashindwa kuficha tabia zao.
Mkuu wewe haujawahi kufanya uzinzi?
 
Watatafutana tuuu,sio ajabu upo Uingereza mwanamke akakupiga mzinga akamtumia nauli mzazi mwenzie aje Uingereza amgegede

duh balaaa hii sasa. aya bwana asante kwa ushauri sasa ngoja nikatafute tuu ambaye hajawai kuzaa
 
Mi nashangaa mwanaume anayelea mtoto wa mwananaume mwenzake na huwa nashangaa zaidi mwanaume anayekubali kulelewa mtoto wake na mwanaume mwingine.
Acha iyo kauli maisha muda na mapenzi hivi vitu vina mambo mengi kinyama
 
Nimejitahidi sana kumpuuza na kumpa mapenzi yule mtoto manake hana kosa, ila nilisimama kama mke nikamwambia bwana sikia najua kama huyu ni mzazi mwenzio ila kuna mipaka mume wangu, sijakataa msiwasiliane kuhusu mtoto lakini ebu vaa kiatu changu ungejisikiaje? ivi kweli aje humu ndani bila hata salam anakuongelesha wewe eti mbona mtoto amevalishwa socks wakati amelala mie staki ujinga huu kwa mwanangu anagombaa mie kimnyaaaaaaaa, akiondoka yule mwanamke naliaaaaaaaaa nasali namuomba mungu anipe subra ila alhamdulillah mtoto ana 18yrs plus anataka mtoto na mie simkatazi mtoto asiende ila mtoto hataki na hataki nimwambie kama yule ni mamake,kuna siku alikuja nilikua naenda nae USA, bibi yule alikataa nimchukue mtoto na sikua na jinsi ilibidi nimwambie aongee na mamake ili twende sote ubalozini duu mwanamke alichambaaaaaa kunichamba mimi na hata kosa langu silijui,

Sikuhiyo ndio nilijua kama huyu bint anaongea, alimuuliza mamake unadhani sijui kama uliniacha nikalelewa na Mama huyu unasema unanipenda? ulikua wapi wakati nilikua naumwa? ulikua wapi wakati wa graduation yangu? ulikua wapi wakati nakuhitaji? leo unasema nisiende USA na mama unasema wewe ndio mamangu unaweza kua ndio mama ulienizaa ila huyu ndio mama kwangu na hujui tuu kiasi gani nazidi kukuchukia unapo mtukana huyu mama ikabidi nimwambie no usiseme hivyo huyu ni mama alinambia mama nakupenda nakuheshimu sanaaaaaaaaa ila nakuomba niache nionge, kwahiyo niko nae mwanangu yeye mdomo wake anasema nimemroga mtoto lakini mkuu sio rahisi nimelia kiyasi changu ila sasa alhamdulillah ameshakua yuko na wadogo zake.
Dogo anajitambua
 
Tuna kiuka maandiko ya din lakin tujue tunajikaanga wenyewe, mwanamke akichwa hafai kuolewa tena hii inamaana sana, ila kwakuwa tunajifanya tunaweza sana ndio taabu zinatupata
 
Niivi , izi nyuzi zenu za mtu alozaa zimekua nyingi sanaaa mpaka unajiuliza, Uwezo wa mtu kuamua umepungua?? .

Kama umeona anakufaa Oa ,kama unaoa hakufai usioe.

Maisha ni uchaguzi, nauchaguzi pekee nikuchagua chaguo likupalo Amani .


Mahusiano ya watu walozaa huwa hayafi ng'oooo ,, nawazaz walio zaa nawako 25-35 hawa kuna uwezekano mkubwa wakupashana viporo.

Mwanamke alozalishwa,ataacha kuliwa namzazi mwenzake pale akianza kumfikisha umri wa 38 hukooo nakuendelea, wakati ambao anajua mtoto wake ameshakua , lkn mtoto ndo kwanza yupo 2-10 yrs alafu ndo alizaa anamiaka 22 weee, jamaa ataendelea kumka tuu hamna namna.
ukweli mchungu huu.
 
Aiseee unastahili kuwa mke wangu kwa kweli ebu njoo inbox
Nimepitia hili jambo na sio rahisi ila unaweza kulifanya likawa na afadhali, mimi kwa upande wangu mtoto aliletwa kwangu akiwa na miezi mi 3 kumbuka hapo ndiokwanza nimeolewa sina mtoto nimerudi Honeymoon siku ya 5 mtoto kaletwa na Baba mtu anaambiwa ulikua hodari wa kufungua miguu sasa mikojo yako hiyoooooo, mwnamke yule ilikua ikifika saa 5 au 6 ndio mda wakupiga simu kuulizia hali ya mtoto, na mume nae baada ya kusema piga cm asubuhi au mchana hasemi
anaongea tuu, ila nimestahmili nikawa na shughulikia yule mtoto nikaomba sana mwenyezi mungu anipe subra, mara kuna siku anakuja saa 4 usiku mtoto amesha lala, mtoto akiumwa si mie ndio wakuniuliza anamuuliza mumewangu, sasa kwa ufupi kuna mengi na yanahitaji ustahmilivu, la sivyo mtaachana au mtakua mnagombana 24/7..
 
Back
Top Bottom