Tushauriane namna nzuri ya kuishi na mwanamke mwenye mtoto, na mawasiliano bado yapo kwa ajili ya mtoto wao

Nimepitia hili jambo na sio rahisi ila unaweza kulifanya likawa na afadhali, mimi kwa upande wangu mtoto aliletwa kwangu akiwa na miezi mi 3 kumbuka hapo ndiokwanza nimeolewa sina mtoto nimerudi Honeymoon siku ya 5 mtoto kaletwa na Baba mtu anaambiwa ulikua hodari wa kufungua miguu sasa mikojo yako hiyoooooo, mwnamke yule ilikua ikifika saa 5 au 6 ndio mda wakupiga simu kuulizia hali ya mtoto, na mume nae baada ya kusema piga cm asubuhi au mchana hasemi
anaongea tuu, ila nimestahmili nikawa na shughulikia yule mtoto nikaomba sana mwenyezi mungu anipe subra, mara kuna siku anakuja saa 4 usiku mtoto amesha lala, mtoto akiumwa si mie ndio wakuniuliza anamuuliza mumewangu, sasa kwa ufupi kuna mengi na yanahitaji ustahmilivu, la sivyo mtaachana au mtakua mnagombana 24/7..
Sasa hiyo kwa mwanaume ndo kabisaaa haiwezekani
 
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa aina hii, sio siri inahitaji moyo wa uvumilivu saana mpaka sasa nimeamua kubwaga manyanga kimyakimya km una wivu huwezi kuishi na mwanamke wa aina hii. Kwanza kumuona mtoto ambaye si wako na jinsi mama'ke anavyomkea unaona km jamaa nae anajaliwa namna hiyo unaweza ukamsaidia mama na mtoto wake kwa kila kitu na bado akaomba matumizi kwa baba mtoto, sasa hapo kwenye baba kutaka kumuona mtoto ndio panaumiza kabisa jinsi wanavyokaa kuongea habari za mtoto na anapomsindikiza anapoondoka yaani ukiwa na mwanamke wa aina hii basi jua una na mwenzio mnahudumia pamoja na sio ajabu kula tunda pamoja. Nawahusia vijana wenzangu kua makini sana na hawa watu
Inabidi uwe na moyo wa chuma hahaa,Mimi kwa kweli siwezi
 
Yataka Moyo Kuishi Na Mwanamke Mwenye Mtoto/watoto. Ni Ngumu Kudhibiti Mahusiano Na Mzazi Mwenzake Watakapokutana Juu Ya Mustakabali Wa Mtoto/watoto Wao. Kuhusu Kupeana Mapenzi Upo Uwezokano Mkubwa Wa Kupeana. Sasa Kama Baba Anatoa Fedha Za Matunzo Akiomba Wakumbushiane Mbona Anapewa Kirahisi Tu. Mapenzi Hayafanyiki Labda Kama Mzazi Mmoja Anajulikana Tayari Ana Ugonjwa Wa Kuambukiza. Wapenzi Wa Zamani Huwa Wanatamaniana Tena. Mwanamke Anaweza Kujikuta Anahudumia Mabwana Wawili.

duh!! kama ni hivyo bora nijitoe mapema kwenye hili penzi. kumbe majamaa yanakummbushiaga.
vipi nikamuhamisha nchi tukaishi nchi nyingine mbalia na baba mtoto?
 
Nimejitahidi sana kumpuuza na kumpa mapenzi yule mtoto manake hana kosa, ila nilisimama kama mke nikamwambia bwana sikia najua kama huyu ni mzazi mwenzio ila kuna mipaka mume wangu, sijakataa msiwasiliane kuhusu mtoto lakini ebu vaa kiatu changu ungejisikiaje? ivi kweli aje humu ndani bila hata salam anakuongelesha wewe eti mbona mtoto amevalishwa socks wakati amelala mie staki ujinga huu kwa mwanangu anagombaa mie kimnyaaaaaaaa, akiondoka yule mwanamke naliaaaaaaaaa nasali namuomba mungu anipe subra ila alhamdulillah mtoto ana 18yrs plus anataka mtoto na mie simkatazi mtoto asiende ila mtoto hataki na hataki nimwambie kama yule ni mamake,kuna siku alikuja nilikua naenda nae USA, bibi yule alikataa nimchukue mtoto na sikua na jinsi ilibidi nimwambie aongee na mamake ili twende sote ubalozini duu mwanamke alichambaaaaaa kunichamba mimi na hata kosa langu silijui,

Sikuhiyo ndio nilijua kama huyu bint anaongea, alimuuliza mamake unadhani sijui kama uliniacha nikalelewa na Mama huyu unasema unanipenda? ulikua wapi wakati nilikua naumwa? ulikua wapi wakati wa graduation yangu? ulikua wapi wakati nakuhitaji? leo unasema nisiende USA na mama unasema wewe ndio mamangu unaweza kua ndio mama ulienizaa ila huyu ndio mama kwangu na hujui tuu kiasi gani nazidi kukuchukia unapo mtukana huyu mama ikabidi nimwambie no usiseme hivyo huyu ni mama alinambia mama nakupenda nakuheshimu sanaaaaaaaaa ila nakuomba niache nionge, kwahiyo niko nae mwanangu yeye mdomo wake anasema nimemroga mtoto lakini mkuu sio rahisi nimelia kiyasi changu ila sasa alhamdulillah ameshakua yuko na wadogo zake.
Hapo umegeuzwa kibaraka na matusi juu,mumeo naye amekosea sana au anafikiri una moyo wa chuma,all in all we mwanamke mvumilivu sana
 
Yaani hakusalimii wakati unalea mtoto wake wanawake wengine pumbavu sanaa
 
Nimepitia hili jambo na sio rahisi ila unaweza kulifanya likawa na afadhali, mimi kwa upande wangu mtoto aliletwa kwangu akiwa na miezi mi 3 kumbuka hapo ndiokwanza nimeolewa sina mtoto nimerudi Honeymoon siku ya 5 mtoto kaletwa na Baba mtu anaambiwa ulikua hodari wa kufungua miguu sasa mikojo yako hiyoooooo, mwnamke yule ilikua ikifika saa 5 au 6 ndio mda wakupiga simu kuulizia hali ya mtoto, na mume nae baada ya kusema piga cm asubuhi au mchana hasemi
anaongea tuu, ila nimestahmili nikawa na shughulikia yule mtoto nikaomba sana mwenyezi mungu anipe subra, mara kuna siku anakuja saa 4 usiku mtoto amesha lala, mtoto akiumwa si mie ndio wakuniuliza anamuuliza mumewangu, sasa kwa ufupi kuna mengi na yanahitaji ustahmilivu, la sivyo mtaachana au mtakua mnagombana 24/7..

kama hali ndio hiyo wacha huyu wangu nimpige chini fatsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
duh!! kama ni hivyo bora nijitoe mapema kwenye hili penzi. kumbe majamaa yanakummbushiaga.
vipi nikamuhamisha nchi tukaishi nchi nyingine mbalia na baba mtoto?
Watatafutana tuuu,sio ajabu upo Uingereza mwanamke akakupiga mzinga akamtumia nauli mzazi mwenzie aje Uingereza amgegede
 
duh!! kama ni hivyo bora nijitoe mapema kwenye hili penzi. kumbe majamaa yanakummbushiaga.
vipi nikamuhamisha nchi tukaishi nchi nyingine mbalia na baba mtoto?
Hapo Penzi Lenu Litakuwa Salama Maana Yule X Atakuwa Mbali Kuweza Kujikumbushia
 
Watu wakishazaa kuachana completely ni vigum sana haina tofauti na kutembelea muwa kama mkongojo kuna siku utakula tu
Huu ni UFALA (in Mzee wa Upako's voice)....tatizo vijana wengi hamjitambui sasa wewe umeoa au kuolewa huyo X wako alikuwa wapi hasikuowe kama bado mnahisia kati yenu? Waliojitambua hawapati shida kama hizi.X anabaki kuwa X ili kutunza thamani ya Mume au Mkeo.
So sio kweli eti kisa X ndio mkikutana lazima mkumbushie ukiwaona wa hivyo hao asili yao ni UZINZI na wanashindwa kuficha tabia zao.
 
Kuoa mke mwenye mtoto wa mwanamke mwingine lazima ujiandae kisaikolojia kwanza
 
Back
Top Bottom