Tushauriane kidogo kuhusu kozi ya food science, nutrition and dietics na kozi ya ICT pale open university ipi ina destination nzuri

Jazajuan

Senior Member
Dec 9, 2017
147
262
Habari wadau,

Nina mdogo wangu wa kike ameona aombe kusoma open university lakini kutokana na mkanganyiko uliopo inamletea shida ni kozi ipi asomee Kati ya hizo mbili hapo juu na nyengine ya ziada ni Data management.

Naomba tusaidiane kujadili kwa pamoja wanajamvi
 
Inategemea yeye anataka nini. Sio kila mtu anataka kuwa dokta, na wala sio kila mtu anataka kuwa rais.

Yeye ndio ajiulize anapendelea nini?

Ila kama anataka kozi yenye soko tu bila kujijua anapenda nini basi mwambie akasome data science.
 
Mkuu mi nasoma Laboratory technology.. Katika department yetu kuna watu wa Food science sijui ndo hii course unaizungumzia ila kiupande mwingine ni nzuri sana...
Akasome iyo kwa ushauri wangu...
 
Back
Top Bottom