Tushare game za android

Sasa HV ni mwendo wa psps on Android
 
Sasa hivi nacheza psps game la Pes naombeni magemu mwengine mazuri yanayotumia psps kucheza
 
Game za mpira na action ila mpira ninalo bado action ndo nataka kwanza nijue zipi nzuri na jinsi ya kuzipata.
angalia hizi
-GTA zote kuanzia vice city mpaka china town sema kwenye android gta pia zipo hivyo sio lazima ucheze za psp.

-kuna God of war wabongo wengi wanalipenda sana hili. nafkiri yapo mawili au matatu

-metal gear solid. portable ops. kama unapenda action na story nzuri hili ni bonge la game .

-pursuit force extreme justice.

emuparadise utapata iso zote.

God of War - Chains of Olympus (USA) ISO for PSP

mengine makubwa jiandae na kifurushi cha maana.
 
Kwa sasa nacheza dead effect 2 na NBA 2k17, aisee kama device yako inatabia ya kulag usidownload
 
Dah asante sana boss ngoja niyacheki.
 
Hili game nimefika mission ya 12 sasa mc4 ni tamu sana graphics na story ko hakuna linaloendana na hili mkuu wangu kenye story nzuri na graphics nzuri pia
 
Hili game nimefika mission ya 12 sasa mc4 ni tamu sana graphics na story ko hakuna linaloendana na hili mkuu wangu kenye story nzuri na graphics nzuri pia
Si nlikwambia mkuu? Yaan hilo game lina console-quality graphics acha kabisa
 
Si nlikwambia mkuu? Yaan hilo game lina console-quality graphics acha kabisa
Haha hatree sana nipo kile kipngere cha kumprotect Rais asee mission ya 12 nishamuokoa kwa terrorist ishu kumtoa kwnye ile airport yao hataree
 
Mkuu nimedownload hiyo COD strike team kila kitu nimekifanya sahihi tatizo ukifungua inaload kidogo then inatokea error ya unfortunately strike team has stopped...
sina idea mkuu, labda utafute version/source nyengine.
 
mkuu naomba link ya ku download ii kitu apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…