Tushare game za android

Top eleven ...daah mwaka wa tatu sasa nacheza! Be a manager
 

mkuu hii kitu sijawai kufanikisha kabisa kunipa bure gold na simu yangu ni rooted
 
Nilikuwa napenda game wakati wa Nokia, simu ya kawaida unapata game nzuri na unacheza bila matatizo, huna wasiwasi na chaji, no lags, memory kidogo.
Kwenye mi-simu ya siku hizi game inahitaji memory kubwa, chaji wasiwasi, lags kibao, matangazo mpaka yanakera na simu inapata moto kama unataka kutengeneza popcorn.

Sina mpango na game kwenye mi-simu ya sasa.
 
Naomba trick ya play hii game tafadhali. Kila nikijaribu naishia level ya chini.
 
Walking dead 1 and 2 ni nyoko, halafu upate s6 au 7 hutok ndani siku nzima
 
temple run oz ni noma
kwa football dream league 2016 zipo poa sana
 
Nimefka sehem ya kufuta game nimeshindwa naomben msaada
 
Game ya nyoka ni noma sana hutoki 24hrs lakini n Nokia tu
 
jamna naombeni kujuzwa games nzuri za android zinazochezeka bila longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…