Tushare game za android

Gta vice city lilikua linapatikana free saivi linauzwa ama wameona watu wengi walilipakua
 
Nimepata kalikizo boss nikaamua nikatumie effectively kwenye games na apps nyingine hili ni fifa15
hili ni fts15 hili ni sim city hili ndo top eleven hili ni frontline commando hili ndo infinity flight sim

Mkuu hili fifa unalocheza ndo lile linalohitaju internet access au liko cracked mkuu?
 
Yaaap,upatapo muda ni vyema ukajichezea game hizo kutuliza akili na mchoko,asanteni kwa wote mlotuma hizo game
 
yap infinit flight inauzwa ila pakua kupitia aptoide ...thn kuhusu kuihack nilitumia lucky patcher nikitulia ntakutumia screen short uone ni rahisi mno mkuu naiman haitakushinda

Ntashukuru mkuu
 
Jamani why msiwe mnatupia na link ya hizi games....
 
Criminal case... Yaani hapa ndo pananishinda kusolve hii case.. I can't find murder aisee...
 
Attachments

  • 1449258207945.jpg
    64.5 KB · Views: 169
Criminal case... Yaani hapa ndo pananishinda kusolve hii case.. I can't find murder aisee...
Mkuu hapo mbna simple tu endelea kutafuta ushahidi ufill blanks zilizobaki hapo utampata kiurahisi....hiyo sio ngumu kuna case number 6 aise siyo kabisa
 
Mkuu hapo mbna simple tu endelea kutafuta ushahidi ufill blanks zilizobaki hapo utampata kiurahisi....hiyo sio ngumu kuna case number 6 aise siyo kabisa

Duuuuh upo case number sita....?
 
Mkuuu KAFA.cOm game gani nyingine nzuri kama hizi... Napenda sana kama zile za sims3.. Game za Style ile.. Nimedownload sims3 playstore .. Ina hitaji Internet..
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu KAFA.cOm game gani nyingine nzuri kama hizi... Napenda sana kama zile za sims3.. Game za Style ile.. Nimedownload sims3 playstore .. Ina hitaji Internet..
Mm nlizoko nazo zinataka internet boss...
 
Last edited by a moderator:
Yap!!!!!hiyo case ako niliimaliza mwezi wa 6 i think

Who is the killer? evidence kwa wote zipo... Urefu futi sita ni watatu... And bangage.. Pamoja na jino wote hawana... Hahaha.. Hili game nimelipenda
 
Attachments

  • 1449340714098.jpg
    72.8 KB · Views: 228
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…