MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,439
Wanabodi,
Wengi tuna tatizo la uchungu wa moyo kwa kujua au kutokujua. Hii inaweza kuwa ni sehemu ya kikwazo katika maisha yako kwasababu ya kushindwa kuachilia hilo na kusamehe.
Nimeweka link hapo chini ili ufatilie somo hili kutoka kwa Mwl.Pascal Massenge na Xsuper Urio. Somo hili linaendelea pale Emaus nyuma ya stendi kuu ya mabasi ya mikoani Ubungo. Karibuni leo pia kuanzia saa nane mchana.