Tuseme ukweli kila mtu ushirikina anafanya

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kama ufanyi shiriki basi kaishi porini na wanyama tu!

Asilimia kubwa mpaka wewe uliyesoma post hii shiriki umefanya!

kwa nini!
kuna kipindi unapata matatizo labda kuumwa, kukosa pesa, biashara kuyumba, mambo kwenda kombo na n.k. Na kila hatua umechukua inafikia ujaribu kwenda kwa sangoma tu ila kuna watu watajifanya shiriki kama hawajui .

kama hupo sehemu hizi basi lazima ufanye !
  • Ofisini au maofisini
  • Biashara za soko
  • Biashara zinazofanana na zipo sehemu moja au ushindani mkubwa
  • Kwenye siasa kuanzia kampeni mpaka chaguzi
  • Michezoni hapa wale simba na yanga wasikatae na michezo mingine
  • Mashuleni na mavyuoni
  • Lifestyle tunayo ishi mtaani
  • Vyeo na kipato
  • Ufugaji ,ulimaji na uvuvi
  • Migodini
  • Mafanikio
  • Nyumba za ibada makanisani na msikitini

sio utani!
[mention]Mshana Jr [/mention] kuna uzi wake ubabe wa kariakoo mlikuwa mfahamu.

kama ujawahi kuwa shiriki basi kariakoo pasikie kuna shirki ukitaja hapa unaweza kushindwa kufanya biashara.
 
Jifunze sana kutumia herufi H kwenye maneno unayoandika. ''Hanafanya'' na ''anafanya'' ni maneno mawili tofauti kabisa.

Maneno kama ''hujawahi'' wewe unaandika ''ujawahi''. Nashangaa sana pale unapotakiwa kuweka H huweki, na pale unapotakiwa usiweke, ndiyo unaweka. Tatizo lako ni nini?
 
Atakuwa katoka Koromije huyo..!
 
Mmh...
Ila binafsi naamini wengi wanaingia kwenye shirki hasa kwenye matatizo makubwa ya magonjwa. Kwa mfano magonjwa ambayo hospitalini wameshindwa kuyatambua bado (diagnosis) au hakuna matibabu. Wengi hapo huangukia kwa waganga na hata makanisani (hata huku kuna shirki pia).
 
Kwanza tueleze namna unavyolielewa neno shirki ndio tuanze mjadala.

Huenda jinsi unavyolielewa neno shirki ni tofauti na uhalisia wake au tofauti na mtu mwingine anavyolielewa neno hilo hilo.

Mwisho wa siku utakuta mnabishana weee kumbe kila mtu ana tafsiri tofuati maana ya neno shirki.
 
shiriki ni kitendo cha kuingia kutumia nguvu za giza kwa mfano kutengeneza biashara,fursa,vyeo,kumuumiza mtu,kuzibia mtu,kujifungua na n.k
 
Jifunze sana kutumia herufi H kwenye maneno unayoandika. ''Hanafanya'' na ''anafanya'' ni maneno mawili tofauti kabisa.

Maneno kama ''hujawahi'' wewe unaandika ''ujawahi''. Nashangaa sana pale unapotakiwa kuweka H huweki, na pale unapotakiwa usiweke, ndiyo unaweka. Tatizo lako ni nini?
Hili ni tatizo kubwa kwa sasa. Walimu wa lugha huko sekondari sijui wanafanya nini. Inakera mpaka basi
 
Jifunze sana kutumia herufi H kwenye maneno unayoandika. ''Hanafanya'' na ''anafanya'' ni maneno mawili tofauti kabisa.

Maneno kama ''hujawahi'' wewe unaandika ''ujawahi''. Nashangaa sana pale unapotakiwa kuweka H huweki, na pale unapotakiwa usiweke, ndiyo unaweka. Tatizo lako ni nini?
Lugha ya Waganga hiyo 😅😅😅
 
Binafsi sijawahi kufanya ushirikina. Ila nina hakika asilimia 99 ya Watanzania wanafanya ushirikina.

Tokea nimuone shemeji yangu mlokole haswaa. Kila siku kanisani, kila siku anasali, kila siku anasoma neno la Mungu, kila siku status anamtukuza Mungu, kila siku anatuhimiza kusali.

Ila alipojenga nyumba mpya, akamuita mganga kuja kuizindika, nilishapoteza imani kabisa.
 
Shiriki ni nini?
Kama ufanyi shiriki basi kaishi porini na wanyama tu!

Asilimia kubwa mpaka wewe uliyesoma post hii shiriki umefanya!

kwa nini!
kuna kipindi unapata matatizo labda kuumwa, kukosa pesa, biashara kuyumba, mambo kwenda kombo na n.k. Na kila hatua umechukua inafikia ujaribu kwenda kwa sangoma tu ila kuna watu watajifanya shiriki kama hawajui .

kama hupo sehemu hizi basi lazima ufanye !
  • Ofisini au maofisini
  • Biashara za soko
  • Biashara zinazofanana na zipo sehemu moja au ushindani mkubwa
  • Kwenye siasa kuanzia kampeni mpaka chaguzi
  • Michezoni hapa wale simba na yanga wasikatae na michezo mingine
  • Mashuleni na mavyuoni
  • Lifestyle tunayo ishi mtaani
  • Vyeo na kipato
  • Ufugaji ,ulimaji na uvuvi
  • Migodini
  • Mafanikio
  • Nyumba za ibada makanisani na msikitini

sio utani!
[mention]Mshana Jr [/mention] kuna uzi wake ubabe wa kariakoo mlikuwa mfahamu.

kama ujawahi kuwa shiriki basi kariakoo pasikie kuna shirki ukitaja hapa unaweza kushindwa kufanya biashara.
 
Mimi sifanyi ushirikina,
Sidhani kama kila mtu anafanya mzee
 
Hakuna aliyemkamilifu (Absolutely),
Lakini kosa kubwa ulilolifanya ni kugeneralize ( to draw a general conclusion).
It does not sound or work like that!
 
Back
Top Bottom