Tusalimiane kikwetu..

Tusalimiane kikwetu..

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Wadau

Hapa tunasalimiana kwa kilugha na atakeyejibu salamu yako anakuwa rafiki yako.

Kama hujui kilugha chenu wewe sio mzalendo.

Naanza kwa salamu hii ya kwetu.

"Shimboni shavo...[emoji28][emoji28][emoji28]

Uzi tayari

Tukutane [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Mchagga wa marangu weye..umesoma lakini? Maana wadada wengi wa marangu wamebukua hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom