Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,064
- 5,001
Umejiunga jf 2012, nadhani nilikua form 3, kumbe hatupishani sana umri pengine naweza kua mkubwa kwakoSipo hivyo ,ila nikati ya vijana wadogo niejiunga jf sina kitu 2012 ila nimejipata kwa juhudi , hakuna imani za Mungu wala uchawi
Tule pombe chaulevi mwenzangu vingine vyote ni batiliSasa niombe msamaha ili iweje?
Jana nilipitiwa na usingizi nimeacha mziki sauti ya juu mno , nilikunywa kidogo mno ila nilipata usingizi wa ghaflaTule pombe chaulevi mwenzangu vingine vyote ni batiliView attachment 3604432
Pole sana tajiri😁Jana nilipitiwa na usingizi nimeacha mziki sauti ya juu mno , nilikunywa kidogo mno ila nilipata usingizi wa ghafla
Inatafakarisha,pesa ndiyo kila kitu ukikosa unanyauka kweli maana hata kasupu huwezi kunywa 😀
Inatafakarisha,pesa ndiyo kila kitu ukikosa unanyauka kweli maana hata kasupu huwezi kunywa 😀
Kweli bwashee, mara moja moja kulewa sio mbaya😃Inatafakarisha,pesa ndiyo kila kitu ukikosa unanyauka kweli maana hata kasupu huwezi kunywa 😀
Kuna aliyewahi kulewa halafu asubuhi unaitaji supu huwezi kununua una buku tu,then unajongea taratibu kwenye mihogo yenye kachumbari nyingi ndiyo inakuwa pona yako.