Tusaidiane...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane...!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwanakili90, Jan 19, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni wanawake wa makabila gani wanaongoza kwa kutoa penzi nje ya ndoa?
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yote
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,166
  Likes Received: 1,823
  Trophy Points: 280
  Si rahisi kuweza kuthibitisha hili...ni styreotyping tu,, utani wa kijadi wa kabila moja kulibambikia lengine.
  Pia wanawake huwa hawajaandikwa utosini majina ya kabila lao na hivyo kufanya pia iwe vigumu kujua hilo unaloliuliza.
  mambo unayotaka kujua hufanywa kisiri siri, sasa takwimu sahihi za ulinganisho utazitoa wapi?
  Tafuta jambo la maana la kujishughulisha nalo..kwa hili utapata majibu ya umbea na udaku tu, lakini hakutakuwa na usahihi wowote..
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hata uzoefu nao nadhan utaweza tumika ku2thibitishia hili!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kabila lako!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Ukijua then what what will you do?...Utaenda kutambika au?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  no comment
   
 8. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 821
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Duuuuh! Ni wanawake tuuuuuuu wanaoongelewa kwenye kila kitu kibaya! Mhhhh! jamani.....:crying:
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wamakonde
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,001
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kwan mama yako kabila gan?
   
 11. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duu! we unafikiri chanzo ni nini hadi tutoke nje ya ndoa! c ninyi wanaume feki! Kidudu kidogo kama cha ndege mweee!!!!!!! tutaacha kutoka? U men do ur job well kama utauliza tena hili swali humu.
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,291
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  ndo maana kuna mtu alisema kuna -18 humu
  wastage of tym
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mama angu ntakwambia ila ww mama ako kabila gan!
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mabata madogo dogo yanaogeleeeeeeeeeeeeeeea yanaogeleaaaaaaaaa kwenye shamba zuri la bustaniiiiiiiiiii...........:plane:
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah umemuuliza swali gumu jaman..iwas here:plane:
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wory nt
  he sound 18-22 yrs
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  uzoefu upi?
  kwa kipimo gan?
  wanaume wa kabila gan wanaongoza kwa kutongoza?
  watu gan wanaongoza kwa crrrrrappps ?
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  makabila yote isiokuwa la kwetu tu!
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Kabila la babu yako.
   
 20. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwahiyo kama wanatoka unataka kufanyaje na wakitoka wanatoka na vyura sijakuelewa
   
Loading...