Tusaidiane kwa walio apply Tanapa

miss naire

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
237
228
Msaada jamani,nimeaply vipengele vyote nimejaza,nikiingia kwa profile nikibonyeza applied job inaonesha kabisa nimesha apply,lakini sijapata confirmation email kama wenzangu walivyo pata,je kuna aliye kumbana na hii
 
Njoo inbox nikupe ujanja.
msaada jamani,nimeaply vipengele vyote nimejaza,nikiingia kwa profile nikibonyeza applied job inaonesha kabisa nimesha apply,lakin sijapata confirmation email kama wenzangu walivyo pata,je kuna aliye kumbana na hii
 
Jaribu kubadili browser unayotumia yaani kama ulitumia Google chrome tumia explorer au opera au endelea kujaribu maana mwisho wa kusajili na kuomba ni ile baada ya tarehe ya mwisho.
 
Back
Top Bottom