Tahadhari kwa wanao omba kazi humu jf kueni makini kuna matapeli wanaojifanya wana connection za kazi

MGODOLO

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
209
172
Kiukweli sisi watanzania baadhi yetu umasikini hautaisha kwa sababu wengi wetu tunatamani kumkosesha mtu aliekosa.

Juzi kati hapa niliweka uzi wa kuomba msaada wa kazi.. Akajitokeza mshkaji mmoja hivi, na najua uzi huu atauona unamhusu yeye.. Mshkaji kaja PM, nikampa namba.. Ilikua kama saa 12 za jioni. Akaniambia una nini na nini kwenye taaluma yako, mi nikamchana bila chenga. Bwana mimi nina LESENI NA CHETI CHAKE (ishu ya udereva). Akataja vitu vingi kinoma ambavyo vinahitajika kwenye hio kazi anayotaka kuniunganisha

Lakini akasema, hakuna shida nina mtu wangu pale ndani (hapo kwenye kampuni) kuwa atafanya mishe zote hizo. Nikajiuliza mtu hanijui anawezaje kufanya mishe kama hizo.. Na hapo tupo mikoa tofauti, yeye yupo Dodoma, alafu mishe ipo Mbeya. Afu mimi nipo Arusha. Hapo ndio akaona ni chansi ya kupiga hela. Jamaa saa moja ileile akaniambia niandike barua ya maombi ili ampe mshkaji apeleke. Sasa nikajiuliza, mimi nipo Arusha, mishe ipo mbeya. Nani anapeleka? Akasema andika kwa Kompyuta kisha nakutumia Email ila utaambatanisha na cheti, leseni namba ya nida. Mwanaume nikapambana mzee, ila kichwani nikajua hapa kuna utapei ila kwakua bado hajaanza kutaja mishe za hela, wacha nisikate tamaa.

Asubuhi nikamuuliza maswali kadhaa huku nikimwambia atume hio Email ya mshkaji mana nimesha kamilisha Akaniuliza umeandika barua zote? Nikajiuliza kimoyomoyo KWANI BARUA ZA MAOMBI ZINAKUA NGAPI? Mimi nikamjibu nimeandika moja na nimeambatanisha na cheti, leseni na nida.. Akasema zinatakiwa na barua mbili za wadhamini. Hapo ndio nikajua huyu jamaa tapeli.

Nikamwambia tu kiastarabu. Sasa barua za wadhamini naandika mimi au hao wadhamini.. Na je Hao wadhamini wanatakiwa wawe wakazi wa mbeya au Arusha. Akasema wanatakiwa wawe wakazi wa Mbeya. Nikamwambia sasa tunafanyeje mana sina mtu kule Mbeya. Mshkaji akasema hio ni kazi ndogo tu.... Daaah, nikawa nacheka tu. Uzuri nilisha jua ila sikutaka kukata tamaa. Jamaa akatuma Email namimi nikatuma vile vielelezo vyangu.

Jamaa akasema, tayari vimefika na huyo jamaa ambaye yuko mbeya... Anasema barua mbili za wadhamini, kila mwamini lazima tumtoe kiasi chochote. Alafu kuna barua ya mtendaji na yenyewe sio bure. Pia inataiwa kuprint vile vielelezo vyako. Kwahio kunahitajika pesa.

Nikamwambia kistaarabu tu kuwaa mimi sina pesa, kwani hata nauli yenyewe lazima nikope kwa mtu. Kwahio kama ni mishe za hela. Anaweza maliza tu kisha mimi nikiingia mzigoni, namtoa hela yake, nae ni mfanyakazi wa humo humo. Jamaa alivyoona nalia nenge... Sijaona ten mawasiliano yake. Mpaka sasa naandika uzi huu, sijui sms yake ni siku ya tatu leo.

Sasa watanzania tunakwenda wapi, mbona tunakos uzalendo... Wewe mwenzio aa shida, afu kulingana na shida zake unataka kumgeuza mtaji... Yaani shida za mwanaume mwenzio unataka kuzipatia kipato.. Na umesoma uzi wake hana kitu, afu unataka kumliza tena.

Ndugu zangu tuacheni haya mambo. Mseidie mwanaume mwenzako kama kuna mishe mpe connection... Ila sio kumgeuza mtaji...

Nawasilisha mzigo huu. Kueni makini ndugu zangu.

Asante.

Ila samaki mmoja akioza namtoa, bado sikomi jamani. Naombeni kazi bado sijapata, mwenye connection anicheki wazee wakubwa.

Ishu ni udereva gari yeyote 0755360768
 
Mkuu huyo mtu sio Waigimah??? maana alishawahi kunifanyia usanii wa hivo ila kilichonisaidia kwa sababu watu wa hivi nimekutana nao sana ninawajua akianza tu sound zake za mwanzo. Kuna mmoja aliniambia nitume CV mimi sikutuma jioni nikamwambia nimetuma akanijibu nimeoiona wakati sijaituma nilicheka sana 😂😂
 
Mkuu huyo mtu sio Waigimah??? maana alishawahi kunifanyia usanii wa hivo ila kilichonisaidia kwa sababu watu wa hivi nimekutana nao sana ninawajua akianza tu sound zake za mwanzo. Kuna mmoja aliniambia nitume CV mimi sikutuma jioni nikamwambia nimetuma akanijibu nimeoiona wakati sijaituma nilicheka sana
Hahahaha
 
mpo wengi mnaotafutwa kwa iyo sishangai kusema kaiona
 
Nadhani kakusikia ila penye kuku wengi usimwage mchele.
mkuu kwa hiyo ulitaka akae kimya watu waendelee kupigwa? sisi wengine kututapeli ni ngumu ila kuna wengine wanatapelika kirahisi sana ni bora kawashtua kidogo wawe attention
 
Kiukweli sisi watanzania baadhi yetu umasikini hautaisha kwa sababu wengi wetu tunatamani kumkosesha mtu aliekosa.

Juzi kati hapa niliweka uzi wa kuomba msaada wa kazi.. Akajitokeza mshkaji mmoja hivi, na najua uzi huu atauona unamhusu yeye.. Mshkaji kaja PM, nikampa namba.. Ilikua kama saa 12 za jioni. Akaniambia una nini na nini kwenye taaluma yako, mi nikamchana bila chenga. Bwana mimi nina LESENI NA CHETI CHAKE (ishu ya udereva). Akataja vitu vingi kinoma ambavyo vinahitajika kwenye hio kazi anayotaka kuniunganisha

Lakini akasema, hakuna shida nina mtu wangu pale ndani (hapo kwenye kampuni) kuwa atafanya mishe zote hizo. Nikajiuliza mtu hanijui anawezaje kufanya mishe kama hizo.. Na hapo tupo mikoa tofauti, yeye yupo Dodoma, alafu mishe ipo Mbeya. Afu mimi nipo Arusha. Hapo ndio akaona ni chansi ya kupiga hela. Jamaa saa moja ileile akaniambia niandike barua ya maombi ili ampe mshkaji apeleke. Sasa nikajiuliza, mimi nipo Arusha, mishe ipo mbeya. Nani anapeleka? Akasema andika kwa Kompyuta kisha nakutumia Email ila utaambatanisha na cheti, leseni namba ya nida. Mwanaume nikapambana mzee, ila kichwani nikajua hapa kuna utapei ila kwakua bado hajaanza kutaja mishe za hela, wacha nisikate tamaa.

Asubuhi nikamuuliza maswali kadhaa huku nikimwambia atume hio Email ya mshkaji mana nimesha kamilisha Akaniuliza umeandika barua zote? Nikajiuliza kimoyomoyo KWANI BARUA ZA MAOMBI ZINAKUA NGAPI? Mimi nikamjibu nimeandika moja na nimeambatanisha na cheti, leseni na nida.. Akasema zinatakiwa na barua mbili za wadhamini. Hapo ndio nikajua huyu jamaa tapeli.

Nikamwambia tu kiastarabu. Sasa barua za wadhamini naandika mimi au hao wadhamini.. Na je Hao wadhamini wanatakiwa wawe wakazi wa mbeya au Arusha. Akasema wanatakiwa wawe wakazi wa Mbeya. Nikamwambia sasa tunafanyeje mana sina mtu kule Mbeya. Mshkaji akasema hio ni kazi ndogo tu.... Daaah, nikawa nacheka tu. Uzuri nilisha jua ila sikutaka kukata tamaa. Jamaa akatuma Email namimi nikatuma vile vielelezo vyangu.

Jamaa akasema, tayari vimefika na huyo jamaa ambaye yuko mbeya... Anasema barua mbili za wadhamini, kila mwamini lazima tumtoe kiasi chochote. Alafu kuna barua ya mtendaji na yenyewe sio bure. Pia inataiwa kuprint vile vielelezo vyako. Kwahio kunahitajika pesa.

Nikamwambia kistaarabu tu kuwaa mimi sina pesa, kwani hata nauli yenyewe lazima nikope kwa mtu. Kwahio kama ni mishe za hela. Anaweza maliza tu kisha mimi nikiingia mzigoni, namtoa hela yake, nae ni mfanyakazi wa humo humo. Jamaa alivyoona nalia nenge... Sijaona ten mawasiliano yake. Mpaka sasa naandika uzi huu, sijui sms yake ni siku ya tatu leo.

Sasa watanzania tunakwenda wapi, mbona tunakos uzalendo... Wewe mwenzio aa shida, afu kulingana na shida zake unataka kumgeuza mtaji... Yaani shida za mwanaume mwenzio unataka kuzipatia kipato.. Na umesoma uzi wake hana kitu, afu unataka kumliza tena.

Ndugu zangu tuacheni haya mambo. Mseidie mwanaume mwenzako kama kuna mishe mpe connection... Ila sio kumgeuza mtaji...

Nawasilisha mzigo huu. Kueni makini ndugu zangu.

Asante.

Ila samaki mmoja akioza namtoa, bado sikomi jamani. Naombeni kazi bado sijapata, mwenye connection anicheki wazee wakubwa.

Ishu ni udereva gari yeyote 0755360768

Mkuu pole sana.
Muweke hadharani na namba yake tumtafutie anachokitaka kama ni tapeli.
 
Mkuu huyo mtu sio Waigimah??? maana alishawahi kunifanyia usanii wa hivo ila kilichonisaidia kwa sababu watu wa hivi nimekutana nao sana ninawajua akianza tu sound zake za mwanzo. Kuna mmoja aliniambia nitume CV mimi sikutuma jioni nikamwambia nimetuma akanijibu nimeoiona wakati sijaituma nilicheka sana
Hahahaha mimi nilituma akasema kaziona, uyo wako kiboko
 
Back
Top Bottom