Sasa ni Mungu gani anaye mtumikia ikiwa anatelekeza mtoto. Alafu mtoto anasaidiwa bado tu hatakiMtoto apimwe DNA ili ithibitike ni wa nani.
Inawezekana mchungaji ana sababu ya kukataa kulingana na maisha ya kimapenzi huko nyuma.Nilishawahi kuona msichana akimdanganya jamaa anayeishi nae kuwa amempa mimba huku jamaa mwenyewe akijua hana uwezo huo.Alichofanya ni kumuambia kistaarabu kuwa hiyo mimba sio yake na baadae kumtema. Au mchungaji anaogopa kuchafua jina lake kanisani.
Ndo hivyo hana namna.Habari sana hii