bado nafanya upembuzi yakinifuAcha tu Kama we uliyonitosaga
Ni kweli sana mkuu,,,unajikuta umepoteza muda na fedha kuhudumia wenzio,,,i realize am jst buying time wth her
bado nafanya upembuzi yakinifu
Can u spare these words till nxt time plz?
itafute chapaa lazima uniteke ukiwa nayo ila kama huna siwezNajua udaifu wako nitakuteka tu
itafute chapaa lazima uniteke ukiwa nayo ila kama huna siwez
Usiri siri sio jambo zuri kwenye uhusiano.
Kiburi pia sio ishu kwenye uhusiano.
Si vibaya kua na mtu mwenye mtoto ila hua wanapenda kufananisha huduma unazotoa kwa watoto wako na huyo uliemkuta nae.
Mdada wa miaka 18 halaf ndo kamaliza form four bado ana ishu nyingi za kujifunza ili kuingia kwenye uhusiano akiwa imara, pia bado ana safari ndefu ambazo huko atakutana na watu wengine ambao kutokana na uzoefu na umri anaweza anzisha mahusiano.
Pia kua na mpenz ambae wewe umemuiba kutoka kwa mtu mwingine sio vizuri kwa kua sababu yenyew haitosh kumaanisha wakiachana ndo hawatotaka kurudia walichokua wanafanya.
Mimi naona Tafuta mpenzi mwingine
Ni kweli mkuu ila nahitaji kua na maandalizi mapema

Kwanza punguza umalaya mbona galz wa 4 ni wengi sana? utakufa mkuu
Nitakununulia Prado ila Kama zawadi siku ya ndoa
hakuna huruma kwenye pesahahaha mhurumie mwenzio banaa
basi sa hivi ni nunulie vitz
umepangiwa wapi mkuu chichimizi?
Haaa mkuu utajafa kabla ya ck zako buree,,,,ts better ukashauri au kama huna ushauri u lay low