Tusaidiane hapa

Tusaidiane hapa

Sijamuacha kwa maana ya kuvunja mahusiano,,nimeahirisha kugegedana nae,,ingawa bado najipa muda kuona namna nzuri yaku-handle considering she has a loong way to go na maisha yakusoma

wewe kiboko at 25 4 galz???? Kwanza tafta hela dogoukifika 30 fanya yoteee
 
shoga aka katoto ka 25 utakaweka wap? Bado kananuka maziwa mdomoni ahaaaaa kiding!, i know yo just kiding too.
Hahaha usidharau udogo wa reli........unaeza ukatoka na mavazi umeshika mkononi,,huhuhu
 
ha ha ha dah we ni husband material maana kila upungufu wa mtu ni fixable naamini unaweza kuoa yeyote na ukaishi vizuri kwako hakuna tatizo
 
Wanawake wote hao mzee? AIDS kills,wenzio wanakuwaga na mmoja then wanaanza kumchunguza huyo ila ww unataka uchunguze wanne.Mtaka vyote kwa pupa ukosa vyote mkuu.

Hebu ipunguze cycle hiyo
 
wa mwisho ndo anafaa coz bado ni mdogo na unaweza ukammod awe vile wewe unavyotaka. btw ckiliza moyo wako ili ukicheza hovyo uje ujilaum mwenyewe
 
Maisha yanaenda kwa kasi sana,cant believe i wrote this years back
 
Kwa mimi hapo sijaoba wife material labda kwa mimi kishoka nafosi kingi kwa yeyote tu nafanya maisha fresh kabisa kasoro huyo singo maza wa jamaa wake majuu.

Ila kwa wewe last born nilivyosoma uzi wako huu una high expectation kwa atakae kua mkeo na siku akikuzingua inaweza kua safari yako ya akhera.

Chukua hiyo chuma ya pili ambayo maamuzi yenu hamuendani ikuchangamshe mbongo kidogo na ndio maana wewe unainyenyekea, hivyo itakupigisha kwata hadi utapenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom