Tusaidiane hapa

Tusaidiane hapa

Acha sofa za kijinga,unashindana Nazi wakati ndio zimekuleta duniani?!tulizana,ukimwi upo,.

Hope umemanisha ''sifa",,ila sijafanya sifa mkuu ni tafsiri yako mkuu
 
kwanza inaonekana bado unatafuta..........mchagua chagua sana nazi mwishowe huangukia koroma
 
Hao wa kuanzaa nao wanapenda Sana,ishu kumsubiri yupo 18 si mchezo na baadaye unaweza kuachwa pia

Ni kweli sana mkuu,,,unajikuta umepoteza muda na fedha kuhudumia wenzio,,,i realize am jst buying time wth her
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom