Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,628
- 5,262
Nachinganya au mwalimu wangu alinjaza ujinga ? Senene ni mtegemea majani na panzi je anaitwaje .Naamanisha kua senene ndio glashopper au ata panz pia?
Nachinganya au mwalimu wangu alinjaza ujinga ? Senene ni mtegemea majani na panzi je anaitwaje .Naamanisha kua senene ndio glashopper au ata panz pia?
Kweli kabisa mkuu.Kuna jamaa hapa jukwaani alikuja kuomba ushauri anataka arudi chuo akasome Diploma ya Clinical Medicine ilihali ana Degree ya Petroleum ambapo aliingia kichwa kichwa kuisoma kutokana na upepo wa siasa, hatimaye akaishia kujutia.
Siasa inavuruga mambo sana.
Mwalimu alisema maendeleo yanahitaji Watu, Ardhi na Siasa safi.
Kwenye neno Siasa akaongeza neno Safi maana maono yake yaliona mbali sana.
NB: Tukibadili mfumo wa siasa zetu tunaweza kupiga hatua..
Hapana Mkuu, Mambo ya Entomology hayo.Moja ya vitu vilivyotupotezea muda
Mambo ya Botany hayo Mkuu.Dah kweli mambo kama sehemu za UA. Kikonyo, petali, sepali
Dah kweli mambo kama sehemu za UA. Kikonyo, petali, sepali