Wakati tuko busy na haya wenzetu walikua busy na teknolojia...
😂 😂 😂 😂 😂 😂Wakati tuko busy na haya wenzetu walikua busy na teknolojia...
Tutafika tu endapo kila mmoja wetu ataifanyia haki taaluma na ujuzi wakeWakati tuko busy na haya wenzetu walikua busy na teknolojia...
Kweli kaka..ila unajua tunapenda Sana kuingiza siasa kwenye elimu..Tutafika tu endapo kila mmoja wetu ataifanyia haki taaluma na ujuzi wake
Kuna jamaa hapa jukwaani alikuja kuomba ushauri anataka arudi chuo akasome Diploma ya Clinical Medicine ilihali ana Degree ya Petroleum ambapo aliingia kichwa kichwa kuisoma kutokana na upepo wa siasa, hatimaye akaishia kujutia.Kweli kaka..ila unajua tunapenda Sana kuingiza siasa kwenye elimu..
Safi kabisa.Kuna jamaa hapa jukwaani alikuja kuomba ushauri anataka arudi chuo akasome Diploma ya Clinical Medicine ilihali ana Degree ya Petroleum ambapo aliingia kichwa kichwa kuisoma kutokana na upepo wa siasa, hatimaye akaishia kujutia.
Siasa inavuruga mambo sana.
Mwalimu alisema maendeleo yanahitaji Watu, Ardhi na Siasa safi.
Kwenye neno Siasa akaongeza neno Safi maana maono yake yaliona mbali sana.
NB: Tukibadili mfumo wa siasa zetu tunaweza kupiga hatua..
Mambo ya hibiscusDah kweli mambo kama sehemu za UA. Kikonyo, petali, sepali
Good morning Mr. Grasshopper. You are wanted, dead or alive
Kabisaaa yaani ni kama tulifundishwa kuwa kila mtu lazima azeeke wkt linajulikana hilo...wastage of timeMambo ya hibiscus
Stigma
Stamena
Sepali
Petali
Ovuli
Staili
Tumepoteza sana muda kwenye yasiyo na maana, leo hii hizi part za hibiscus hazina msaada maishani.
Kizazi cha sasa, nadhani ungeongelea aina za nyapu a.k.a papuchi wangekuelewa zaidi tena pasipo hata kuhitaji picha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kizazi cha sasa, nadhani ungeongelea aina za nyapu a.k.a papuchi wangekuelewa zaidi tena pasipo hata kuhitaji picha.
Hata walimu wa hesabati walitukosea sana, muda mwingi walitupotezea kwa kutupa hesabu za kutafuta thamani ya x bora wangetufundisha mipango ya kutafuta hela, wameniboa sanaTusibeze sana ni elimu lazima ujifunze vitu vingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114]thamani ya [emoji3582] inaonekana pale unapopigwa kibuti ama kubomolewa nyumba [emoji125][emoji125][emoji125]Hata walimu wa hesabati walitukosea sana, muda mwingi walitupotezea kwa kutupa hesabu za kutafuta thamani ya x bora wangetufundisha mipango ya kutafuta hela, wameniboa sana
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
Ume apply wapi hiyo knowledgeDah kweli mambo kama sehemu za UA. Kikonyo, petali, sepali