Ndio bi mkubwa anataka akapige kambi hapa
Unamwambia aondoke zake!Uwe unaishi hapa umpate mgeni anaekwambia ana allergy na sea food.
Uwe unaishi hapa umpate mgeni anaekwambia ana allergy na sea food.
Kwani nimesema wanakula sea food tu, hapa kuna wafanyabiashara wanaleta nafaka, nyama na mboga lakini samaki itakua ni chakula cha bei nafuu na kila mkazi anafundishwa kuvua tangu akiwa mdogo.Kwani hawa wanakula sea foods only??-- haiwezekani kwani wangeathirika sana kiafya, mtu hawezi kula chakula cha aina moja kwa muda mrefu bila kuathirika kiafya (diverse effects).
Kwani nimesema wanakula sea food tu, hapa kuna wafanyabiashara wanaleta nafaka, nyama na mboga lakini samaki itakua ni chakula cha bei nafuu na kila mkazi anafundishwa kuvua tangu akiwa mdogo.