Turning back the time! Unamkumbuka yupi hapa?

Turning back the time! Unamkumbuka yupi hapa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
Wengine wanaweza kujikana 1423024528609.jpg
 
Hawa ni jamaa wa KwanzaUnit hebu ngoja nikune kichwa nitafute gazeti la Mfanyakazi kabatini nipekue majina yao...
 
Kutoka kulia ni Y-Thang anafuata Fresh-G, halafu Rhymson, halafu D-Rob ambaye ni marehemu sasa na wa mwisho kushotoni Eazy B
 
kumbe kofia za barakhashea zimeanza kuvaliwa kitambo ee
 
Kutoka kulia ni Y-Thang anafuata Fresh-G, halafu Rhymson, halafu D-Rob ambaye ni marehemu sasa na wa mwisho kushotoni Eazy B

Subiri zawadi yako kama upon karibu na kaunta agiza unachokunywa
 
Back
Top Bottom