Kaka hamna kitu kinachoibuka from no where, tukianza kuzungumzia data storage (acha nizungumzie electronic way of data storage like inayotumika kwenye flash disk and some harddisks).
Hebu tuanze kidogokidogo, technicaly what is a bit (smalest unit in data storage arena).? Bit simply yaweza semwa kuwa ni logic level 1 or 0. Then what do 1 and 0 represent.?, technically 1 ni level fulani ya voltage ambayo huwa inakuwa contained kwa muda na hardware (flip flop/multivibrator) ambapo huwa inatofautiana tokana na technology i.e TTL, CMOS e.t.c but mostly logic level 1 huwa inakuwa represented na 5volts wakati logic level 0 huwa inakuwa represented na 0 volts. Computer na electronic device zenyewe huelewa bits tuu(machine language) na si vinginevyo.
Katika digital word, mfano kila character ina value yake ambayo inairepresent. Kwa mfano "A" inakuwa reprerented na decimal value ya 65, ambapo ili machine iielewe inabidi iwe katika binary form "01000001". Nyuma ya pazia, kila binary digit kuna flipflop yake ambayo inahifadhi voltage level husika kurepresent bit hiyo. i.e 5volts kama ni 1 na 0volts kama ni 0.
So kuhifadhi character A pekee itahitajika 8 flipflops ambazo kwa lugha ya kielectronics mkusanyiko wa flipflop nyingi huitwa register, na mkusanyiko wa binary digits nyingi huitwa word.
Back to topic, kwa nilivyoeleza hapo juu utaona ya kuwa hamna data itakayokuwa stored hewani tuu, ni lazima kuwe na associated register(physical memory block) ambamo hizo bit's voltage states zitahifadhiwa. Ndio maana wadau wnapinga concept ya notifeki ya kuwa anachokisema ni hakiwezekani. Hope japo kidogo umeelewa logic behind the curtain
Kaka asante sana kwa majibu yako, siyo mgeni wa bits and bytes, ila sina knowledge yoyote na namna ambavyo zinaweza ku-interact na hardaware, nashukuru kwa kunifahamisha.
Sasa kulingana na majibu yako,are you saying
"is impossible" au ni "
difficult" kutengeneza
virtual (NOT PYHSICAL) storage blocks, kwa ajili ya kuhifadhi data in as much as a phsysical storage block does, which is which? Na kama unasema kwamba
si vigumu bali
ni impossible, unaweza ukawa-convince watu kwa research gani iliyofanyika ikahakikisha hivyo? Kwa nini hudhani kwamba current knowledge on the issue is either hidden or does not yet provide for that possibility kwa sababu pre-requisites za technology hiyo kuweza kuwa invoked kwa mda huu bado hazijaweza kuwa fully explored?
Kaka, huwezi ukaconclude kwamba watu hawataweza kabisa kwenda mwezini simply kwa wakati huo hakuna chombo kinachoweza kwenda mwezini. Inaweza ikaja ikafika wakati kukawa na possibility ya watu kwenda mwezini tena bila hata ya kuhitaji chombo sophisticated kama vile ulivyokuwa unadhani.
Mwisho, Kaka, una-recommendations gani kwa ulimwenugu kuhusu hili swala iwapo kuna watu wanalifanyia kazi au utafiti, unawashauri nini? Wa-abandon utafiti wao?
Ningekushauri ukubali kuwa hili swala ni gumu ila laweza kuwa linawezekana, na si kwamba haliwezekani kabisa, mpaka pale utafiti utakapo-prove otherwise. Just take
H-note as "the case is possible". Otherwise kwa mlengo wako hatuwezi tena kufanya utafiti tutakuwa tunaendelea ku-conclude maswali yote yaliyoko mbele yetu kwa kutumia
existing knowledge, ambapo ni makosa kwa sababu bado haijaweza kujibu kila swali lililopo hapa duniani.