Naona unabishana hadi na takwimu.globofirepower wanasema uturuki ina nguvu kijeshi kuzidi israel,wewe unasema vingine na hutoi ushahidi.Don't fool yourself kuwa Israel haina nuke utakuwa umepotea maboya kuhusu Gaza wanapiga kishikaji wakiamua inapotea kwenye ramani ya dunia Egypt, Syria, Jordan zilivamia Israel kwa pamoja ziliishia kugongwa kama watoto Turkey hana lolote mbele ya Israel pamoja na kuwa ni ya nane Israel nguvu zake ni siri kubwa ndo maana walizamisha floatillas za Turkey hawajafanya lolote angekuwa ni Syria angevamiwa kwanza Egypt inaweza izidi Uturuki ambayo ina makeke mengi. Na ilikimbilia NATO kujilinda dhidi ya Russia maana amekuwa akiitandika kama mtoto hao wengine uliotaja Tajikstan, Azerbaijan, Saud Arabia hazina lolote Pakstan mwenyewe kiboko yake India kamtandika.mara kibao.ikwepo.kuitenga Bangladesh ije iwe kupambana na Israel.kimahesabu waislamu hawana nguvu za kijeshi wapo wapo tu nguvu zote ni mataifa ya kikristo Marekani, Urusi na mataifa ya mgharibi pia wabudha huko China na wahindu India waislamu wapo mbali kwenye ranking wangekuwa juu dunia nzima ilishasilimishwa kwa nguvu haya ni maneno ya Mwanamutapa namnukuu jambo ambalo yuko sahihi kabisa
Thats why your comments sounds teenage. even if your number reads 50 your really age is 14 🙂Am 14,
like are you sure?.
leo hii mtu akiamka na kusema israel wanatolewa jasho na hamas, au na hezbolah utakuwa insane, mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea hilo, kwasababu kipigo kwa hamas kimeharibu magorofa yote yanayomilikiwa na hamas kama kitega uchumi pamoja na bahati mbaya ya kupiga magorofa ya raia. gaza ili irudi katika hali ilivyokuwa inatakiwa kujengwa kwa muda wa miaka 20. ndivyo wanavyosema wataalamu ambao wameshaanza kutembeza bakuli la kuijenga gaza upya na wanajenga bila kujua israel ataiyaponda lini. sawa na kutupa hela..............Wewe jifurahishe tuu ! :wave:...........kama wanatolewa jasho na HAMAS na HIZBULLAH, sembuse Uturuki !
Unamjua Hassan Nasrallah ? AZUSA STREET
leo hii mtu akiamka na kusema israel wanatolewa jasho na hamas, au na hezbolah utakuwa insane, mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea hilo, kwasababu kipigo kwa hamas kimeharibu magorofa yote yanayomilikiwa na hamas kama kitega uchumi pamoja na bahati mbaya ya kupiga magorofa ya raia. gaza ili irudi katika hali ilivyokuwa inatakiwa kujengwa kwa muda wa miaka 20. ndivyo wanavyosema wataalamu ambao wameshaanza kutembeza bakuli la kuijenga gaza upya na wanajenga bila kujua israel ataiyaponda lini. sawa na kutupa hela.
ukija kwa hassan nasra wa hezbolah, amenyamaza kimyaaa kwasababu kipigo kama hicho cha gaza kilishawahi kutokea beirut na kuvunja magorofa yake mengi na kunyong'onyezwa kabisa, hivyo kuingia vita na israel anajiuliza mara mbili. kwa akili yako unafikiri angenyamaza siku 50 wakati ndugu zake hamas wanapigwa? yeye alikaa kimyaaa kama hayupo anaogopa. achana na taifa la Mungu bwana. Mungu ibariki Israel.
No! once you are grownup you will know if you wrong anyone you owe them apology and they can forgive you.forgiven???!!! are you god or somthing???.
What happened to you? Japo sikubaliani na mengi unayopost, these days umekuwa unapost kistaarabu...............wewe jifurahishe tu ! wenzio walimfukuza kazi 'Mkuu wa Majeshi' kwa kipigo cha HIZBULLAH !:boxing: AZUSA STREET
Uchumi wa turkey ni 3 times uchumi wa Israel
Naona unabishana hadi na takwimu.globofirepower wanasema uturuki ina nguvu kijeshi kuzidi israel,wewe unasema vingine na hutoi ushahidi.
tukio la israel kuvamia meli ya misaada ya uturuki,israel waliomba msamaha kama hujui na turkey ikakataa kuwasamehe na kuvunja ushirikiano nao wa kijeshi.
israel wanatumia ndege za kijeshi F16 za kupewa ama kununua toka marekani,wakati uturuki wanatengeneza wao wenyewe F 16.
Israel hawawezi kuiteketeza gaza.kama hujui ile vita iliyopita wamedondosha mabomu ya kujaza mamia ya semitrail lakini hawakuweza kitu.kama wajidanganya watapiga gaza kwa nyuklia nakwambia hawawezi kwani mionzi ya nyuklia itawarudia wao.
asilimia kubwa ya nchi za ulaya ziko against israel kuikalia jerusalem mashariki.
kutumia mfano wa vita vya zamani eti ndo kigezo kwamba israel watawapiga hao ni kujidanganya tu.uturuki wenyewe walishakalia jerusalem kwa mamia ya miaka.
wasyria wamekalia hapa kwa miaka kama 500.
wairan nao mamia ya miaka.
kuanzia mfalme saul hadi hedekia haifika miaka 250,ongeza na miaka ilipoundwa israel 1948 jumla wayahudi hapo hawafikishi miaka 300.
sasa nani amekaa mda mrefu jerusalem?
Unaweza kunisaidia listi ya mataifa matano ya Kikristo? Maana minavyofahamu mimi hakuna hata moja!Mataifa ya kikristo hayaitaji kuunguna kupigana na mataifa ya kiislam! Labda uliimanisha mataifa ya kikristo yaamua kuyapiga mataifa ya kiislam.
Fitina kivipi!?Wayahudi ndio fitna ya Dunia ! Na Hitler alijua hilo !
Unaweza kunisaidia listi ya mataifa matano ya Kikristo? Maana minavyofahamu mimi hakuna hata moja!
Unaweza kunisaidia listi ya mataifa matano ya Kikristo? Maana minavyofahamu mimi hakuna hata moja!
Mji mkuu wa Italia!Roma nayo ni nini?
European Union-hii ni nchi gani? na ipo bara gani?Worlds major economies-G20.
Argentina
Australia
Brazil
Canada
China
European Union
France
Germany
India
Indonesia
Italy
Japan
Mexico
Russia
Saudi Arabia
South Africa
South Korea
Turkey
United Kingdom
United States
Huwezi ziita nchi za Kikristo huku zikisimamia ushoga, utoaji mimba na uchafu wa kila aina!
Uziite nchi zenye "wakristo wengi" na sio nchi za kikristo.
Implication yake ni kuwa wanayoyafanya yanaakisi ukristo kitu ambacho sio kweli!
Ulipaswa kuziona alama za nukuu