Sasa mniambie how come chief wa jerusalem enzi za jebusite na kabla hata abrahamu hajazaliwa aitwe ABDI?
Turkey hawana uwezo kupigana na Israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. Kupigana na Israel ni kupigana na Israel, Marekani and its allies.
Sasa alies wa Turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la Jerusalem ambayo ipo Israel linaihusu nini Turkey? Kwanini Israel haijaingilia mambo ya Turkey?
Kwa Uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea na hii ndio sababu hawakubaliki European union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.
Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si Marekani wala Uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.
kasome kitabu cha WAAMUZI... jibu rahisi tu!
Nimesoma kwa kirefu ulipochukulia hii information. Inaonekana hizi thermonuclear bombs ni za wamarekani even though zipo Turkey na wamarekani wanafikiria kuzichukua. "When asked about a possible US move to withdraw its nuclear weapons from five European countries, including Turkey, Turkeys Defense Minister Vecdi Gonul said that Ankara had no information about such plans." Kwa hiyo Turkey hawana nuclear weapons zao while Israel wanazo. Sasa Turkey waishambulie Israel......Europe's Five "Undeclared Nuclear Weapons States"]
According to a recent report, former NATO Secretary-General George Robertson confirmed that Turkey possesses 40-90 ¡°Made in America¡± nuclear weapons at the Incirlik military base.( en.trend.az/.
Belgium, Germany, The Netherlands, Italy and Turkey: ¡±Undeclared Nuclear Weapons States¡±
While Iran¡¯s nuclear weapons capabilities are unconfirmed, the nuclear weapons capabilities of these five countries including delivery procedures are formally acknowledged.
The US has supplied some 480 B61 thermonuclear bombs to five so-called ¡°non-nuclear states¡±, including Belgium, Germany, Italy, the Netherlands and Turkey. Casually disregarded by the Vienna based UN Nuclear Watchdog (IAEA), the US has actively contributed to the proliferation of nuclear weapons in Western Europe.
As part of this European stockpiling, Turkey, which is a partner of the US-led coalition against Iran along with Israel, possesses some 90 thermonuclear B61 bunker buster bombs at the Incirlik nuclear air base. ( National Resources Defense Council, Nuclear Weapons in Europe, February 2005)
nimesema zipo na kwa sababu zipo incase kimenuka zitatumika tu.Nimesoma kwa kirefu ulipochukulia hii information. Inaonekana hizi thermonuclear bombs ni za wamarekani even though zipo Turkey na wamarekani wanafikiria kuzichukua. "When asked about a possible US move to withdraw its nuclear weapons from five European countries, including Turkey, Turkeys Defense Minister Vecdi Gonul said that Ankara had no information about such plans." Kwa hiyo Turkey hawana nuclear weapons zao while Israel wanazo. Sasa Turkey waishambulie Israel......
Kwa hiyo ni speculation kama kweli wana control ya hizo 40 B61 na hata kama wana control hakuna uhakika kama wataweza kuzitumia. Elewa kwamba si zao.In addition, Ankara is speculated to have control of about 40 of the approximately 70 US B61s on its soil. If this is the case, Ankara might have the ability to use these weapons if any serious threat occurs
Hawana lolote Uturuki kwanza nanyi waislamu mmezidi kila sehemu ni eneo lenu takatifu mnapenda uchokozi usio na maana Madina na Maka ndo takatifu kwenu hapa palipo na msikiti wa Al Qasa lilukuwa ni hekalu la wayahudi lilijengwa na mfalme suleimani wakati wa Ottoman Empire ulijengwa huo msikiti ni uchokozi dhidi ya uchokozi can we imagine wayahudi wakijenga hekalu pale Maka wakisema ni sehemu yao takatifu? Ukweli pamoja na wingi wa waislamu hawafui dafu kwa wayahudi wateule wa Mungu akili nyingi na karibia kila ugunduzi wamehusika. Waislamu ndo wajaribu watakiona cha mtema kuni toka nione superioty ya Israel kwa mujibu wa biblia sina doubt tena na biblia hiyo ya koran kuwa mayahudi watapigwa na kulia kama nguruwe naona ni ndoto za arinacha maana bado wayahudi wanapeta na watazidi kupeta
Kumbuka Mungu na jeshi lake kubwa la malaika yupo na Wayahudi
.............wana Akili nyingi !?..........hicho cha mtema kuni mbona hawakumuonyesha Hitler ?! Appalachian
Wewe unadhani ni kwanini Hitler aliwachukia!?
calm down,sasa kama israel hawezi hata kuiteka gaza yenyu ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,itaweza kweli kupambana na Turkey,nchi ya nane duniani kwa nguvu za kijeshi?.Hawana lolote Uturuki kwanza nanyi waislamu mmezidi kila sehemu ni eneo lenu takatifu mnapenda uchokozi usio na maana Madina na Maka ndo takatifu kwenu hapa palipo na msikiti wa Al Qasa lilukuwa ni hekalu la wayahudi lilijengwa na mfalme suleimani wakati wa Ottoman Empire ulijengwa huo msikiti ni uchokozi dhidi ya uchokozi can we imagine wayahudi wakijenga hekalu pale Maka wakisema ni sehemu yao takatifu? Ukweli pamoja na wingi wa waislamu hawafui dafu kwa wayahudi wateule wa Mungu akili nyingi na karibia kila ugunduzi wamehusika. Waislamu ndo wajaribu watakiona cha mtema kuni toka nione superioty ya Israel kwa mujibu wa biblia sina doubt tena na biblia hiyo ya koran kuwa mayahudi watapigwa na kulia kama nguruwe naona ni ndoto za arinacha maana bado wayahudi wanapeta na watazidi kupeta
calm down,sasa kama israel hawezi hata kuiteka gaza yenyu ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,itaweza kweli kupambana na Turkey,nchi ya nane duniani kwa nguvu za kijeshi?.
hujaweka nuclear pakstan,wazee wa faranga saudi arabi ,algeria,morocco,tajikstan,uzbekstan,afaghnstan,etc.
ila tukiacha ushabiki,jerusalem ndo hasa panaweza kuleta vita kuu.
mataifa ya kikristo yataungana na israel kutwangana na yale ya kiislamu one day.

Don't fool yourself kuwa Israel haina nuke utakuwa umepotea maboya kuhusu Gaza wanapiga kishikaji wakiamua inapotea kwenye ramani ya dunia Egypt, Syria, Jordan zilivamia Israel kwa pamoja ziliishia kugongwa kama watoto Turkey hana lolote mbele ya Israel pamoja na kuwa ni ya nane Israel nguvu zake ni siri kubwa ndo maana walizamisha floatillas za Turkey hawajafanya lolote angekuwa ni Syria angevamiwa kwanza Egypt inaweza izidi Uturuki ambayo ina makeke mengi. Na ilikimbilia NATO kujilinda dhidi ya Russia maana amekuwa akiitandika kama mtoto hao wengine uliotaja Tajikstan, Azerbaijan, Saud Arabia hazina lolote Pakstan mwenyewe kiboko yake India kamtandika.mara kibao.ikwepo.kuitenga Bangladesh ije iwe kupambana na Israel.kimahesabu waislamu hawana nguvu za kijeshi wapo wapo tu nguvu zote ni mataifa ya kikristo Marekani, Urusi na mataifa ya mgharibi pia wabudha huko China na wahindu India waislamu wapo mbali kwenye ranking wangekuwa juu dunia nzima ilishasilimishwa kwa nguvu haya ni maneno ya Mwanamutapa namnukuu jambo ambalo yuko sahihi kabisa

................Mwezi mzima hawakusogea kwa Wanamgambo wa Hizbullaah ! Na vita ilipoisha wakamfukuza Mkuu wa Majeshi !:wave: Appalachian ukweli na ushabiki ni vitu viwili tofauti !