Tupunguze kuwasakama 'Singo maza'

Tupunguze kuwasakama 'Singo maza'

Acha waendelee kuwasakama na kuwasimanga huku wakitujazia ma paragraph huko nyuma ya keyboard.

Lakini ukija kwenye maisha halisi huku kitaa,,, yaani kila mmoja ana li single maza lake na kama hana analitafuta li single maza lenye chenji zake mjini.
Na ma single maza Wana akili ukikaa nae lazima wewe ndio utaumia ni eiza uwe sex machine kwake na ulee mtoto wake ufaidi vichange vyake.
Na kama single maza hana uwezo basi atafaidi vi hela vyako huku ukimlelea mtoto bila kusahau kazi yako kuu sex machine ya kumridhisha na kufanya anavyotaka.

Maelezo yote hayo lakini single maza hana cha kupoteza Wala hasara kwako wewe hawara na minyegeko yako.
 
Tulia wewe baba wa kambo, wewe lea hilo toto la mwanaume mwenzio siku huyo single mother akijipata au wewe ukiishiwa hivyo vichenji vyako, anakupiga chini kisha anaenda kutafuta fala mwingine wa aina yako wa kumsaidia kulea mtoto wake huku malipo yake yakiwa ni mbususu tu...
 
Inaombwaje..?
money-cash.gif
 
Mkuu wewe tu ndo umepata hizo hisia kwamba wanasakamwa lakini wao wala hawajali hizi kelele zetu, wanaendelea tu na mishe Zao kulea watoto wao
 
Mimi ninajirani singlemother.Alianza kunitega ili nimtongoze lakini Mimi nilimkwepa.Toka nimkwepe alinichukia nikamwambia usiniletee chuki za kipumbavu na ipo siku nitakutandika makofu.Mimi sirudii makombo Mimi.Toka nimwambie hivo akanichukia akawa hanisalimii na Mimi Nikawa simsalimii na maisha yanaendelea.Hii imenifanya niwachukie sana Hawa masinglemothers
 
Back
Top Bottom