Tupunguze kuwasakama 'Singo maza'

Tupunguze kuwasakama 'Singo maza'

Kuna single maza mmoja najipigia 🙌 aisee ni mtamu knoma, cjui ni wote wapo hvy au
 
Ukitaka kuona hasira za Single Mother yoyote basi Mtoto wake wa kiume ampeleke Mkwe ambaye ni Single Mother! Yaani huo moto sijui atauzima nani? 😃 Single Mother hataki kabsa mtoto wake wa kiume aoe Single mother 😃
 
Back
Top Bottom