uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,818
- 38,331
Acha waendelee kuwasakama na kuwasimanga huku wakitujazia ma paragraph huko nyuma ya keyboard.
Lakini ukija kwenye maisha halisi huku kitaa,,, yaani kila mmoja ana li single maza lake na kama hana analitafuta li single maza lenye chenji zake mjini.
Na ma single maza Wana akili ukikaa nae lazima wewe ndio utaumia ni eiza uwe sex machine kwake na ulee mtoto wake ufaidi vichange vyake.
Na kama single maza hana uwezo basi atafaidi vi hela vyako huku ukimlelea mtoto bila kusahau kazi yako kuu sex machine ya kumridhisha na kufanya anavyotaka.
Maelezo yote hayo lakini single maza hana cha kupoteza Wala hasara kwako wewe hawara na minyegeko yako.
Kumbe Kuna wanaume wanajiuza? Sisi hatuitaji fedha zao, wewe unayejiuza kwao endelea