tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
- Thread starter
- #21
Rubbish! Rudi shule ya msingi ujifunze jinsi ya kupangilia sentensi.
hehehehe mpo wengi pole
Rubbish! Rudi shule ya msingi ujifunze jinsi ya kupangilia sentensi.
Tatizo sio kama kidole unafikiri hapo yawezekana saizi yako kubwa kila mtu ana size yake sasa iweje beseni lako wakati wa kukoroga kitu chochote utumie kijiko cha chai? Hapo kweli hakuna haja ya kulaumiana utakuwa wewe mashine yako ndio kubwa na kusababisha jamaa kuonekana ana kiduchu?........Usifurahie na wewe kuwa na mashine kubwa hivyo tutaendelea kukimbia na utabaki ukisingizia mara kidole mara kibamia lakini beseni lako hulioni?
Mbona una-sound kama mtoto mdogo ambaye hajui anachotaka kuandika...
hakikaHahahaha kwamba sufuria la msibani halitumii kijiko cha chai