komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 907
- 1,372
Inawezekana, mbona bongo movie wanaweza kuzimia huku wameshika kitambaa cha jasho na akianguki?Hivi Mtu ukijiuaa utaendelea kushika Bastola mkononi ?
Ova
Inawezekana, mbona bongo movie wanaweza kuzimia huku wameshika kitambaa cha jasho na akianguki?Hivi Mtu ukijiuaa utaendelea kushika Bastola mkononi ?
Ova
Alikuwa anafanya shughuli zake kaja mtu kamshuti kisha kamshikisha bastora.
Ndio maana mahala alipokuwa amekaa risasi ilipompiga kichwani ilitoa damu upande wa pili /ukutani.
Angelikuwa amejiua mwenyewe angelitumia mkono wa kushoto.
Evidence nyingine ni kiti /stuli aliyokuwa amekalia kufuata uelekeo/force ya risasi.
Hata ukiangalia miwani vizuri inaeleza uelekeo wa risasi.
Mtu akijipiga risasi hawezi kuendelea kudondoka akiwa bado ana energy ya kushikilia bastola vizuri kiasi hicho lazima mikono inge achia bastola .pili kama angekuwa kweli ana andika hiyo taa haijachomekwa kwenye switch ya umeme .tatu angle ya kiti kilivyo dondoka na mwili tofauti .Katika upelelezi wowote ule lazima
Uusishe, mazingira, tukio lilipotokea, na pia ulinganishe uhalisia wa mambo kama ni kweli au ni mazingira ya kutengenezwa kupoteza ushahidi
Ngoja tuone wataalam wa investigation hapa ... Eti huyu kajiua au kauawa? Chunguza kwa kina Toa sababu ya jibu lako...
Ana bastola mkononi
View attachment 767737