Tupike Pilau Nazi

Sijawahi kujaribu pishi la pilau na nazi, weekend hii nitapika kwa kutumia hii recipe yako ๐Ÿ˜
 
Pilau na Nyanya umoumo.!

Bado sijashangaa na nazi, dunia ndefu kwakweli
 
Tuliongeza,. Ya kwanza iliisha ya pili ndio Ikatushinda kumaliza๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hata hivyo bado hamjanitendea haki mie mpenzi mtazamaji.

Raha ya pilau ulile kwa mkono bila kijiko, sahani nzima uwe peke yako.
 
Maaamaaee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ