Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,323
Unamuitaje mwanaume "my lady" we mlevi wa mamaungefanya kesho kutwa ingependeza zaidi my lady,
kesho usbuhi na mapema sana si kuna kiporo cha wali, maharage na miguu ya kuku tutamuachia nani tena kama tutapika bagia?🐒
Hatujamalizana na catress kaleta bilianiUnazingua
Kuna mwenzako huko juu na yeye kakaza fuvu anaandika biliani
Biryani inakuwaje biliani aise !
🙏🙏sorry gentleman 💪👊
Hatujamalizana na catress kaleta biliani
relax and calm down my queen,Unamuitaje mwanaume my lady we mlevi wa mama
Siku hizi unanyoosha kinge sana mheshimiwa, kulikoni.relax and calm down my queen,
I'm sorry,
we have sorted out the confusion peaceful already 🐒
Lishafika kuharibu haribu nyuzi za watu.relax and calm down my queen,
I'm sorry,
we have sorted out the confusion peaceful already 🐒
huchelewi na mihemko yako moyoni, si unachoka sana gentleman kung'ang'ana na chuki kila mahali?🐒Lishafika kuharibu haribu nyuzi za watu.
Kumbe ni ladyungefanya kesho kutwa ingependeza zaidi my lady,
kesho usbuhi na mapema sana si kuna kiporo cha wali, maharage na miguu ya kuku tutamuachia nani tena kama tutapika bagia?🐒
calm down gentleman 🐒Kumbe ni lady
Ndo maana yakeUmeniita nije kupika
Ni chawa Huyo ashazoea kumsifia MamaUnamuitaje mwanaume "my lady" we mlevi wa mama
Acha ujinga Mchele ukiloweka unaidha ladhaUnavimbaga sana huo balaa ukiuloweka kwenye maji kama nusu saa kabda ya kupika unavimba mnaweza kula watu hata 6 na msiumalize
Mwachiluwi hio Dania naomba tuonyeshe inakuwaje
sorry gentleman