Tupike keki nzuri ya kawaida

Tupike keki nzuri ya kawaida

Thanks mpishi mwenzangu.
Vipimo vyangu kwa cake ndogo tu ya kula home na wtt:
Margarine robo kilo, sukari robo kilo, mayai 6, unga wa ngano nusu kilo kasoro kdg tu. Arki km 1 teaspoon na banking powder kijiko kimoja cha chakula...
Naanza na kumix sugar with Margarine...sukari nasaga kabisa iwe kama unga...
Ikisha kuchanganyika vizuri from yellow colour ya Margarine to cream or white colour naweka mayai...then ikisha kuchanganyika fresh naweka unga wa ngano kdg kdg huku unamix. Then banking powder...arki or iliki ya unga...mpk paste inakuwa ya kiasi. Hapo unaweza kuongeza cocoa powder au maganda ya machungwa uloyagrate.
Unachoma for 40 to 45 minutes kwa 180°C
 
Nitaijaribu pia
 
Nitaijaribu pia
Hapo kwenye margarine nowadays mimi natumia butter. Margarine kama blueband harufu yake sipatani nayo.
Butter pia nzuri inasaidia kukata harufu ya mayai. Ila bei zake ndio zimechangamka haswa
Screenshot_20250725_171534_Chrome.jpg
 
Thanks mpishi mwenzangu.
Vipimo vyangu kwa cake ndogo tu ya kula home na wtt:
Margarine robo kilo, sukari robo kilo, mayai 6, unga wa ngano nusu kilo kasoro kdg tu. Arki km 1 teaspoon na banking powder kijiko kimoja cha chakula...
Naanza na kumix sugar with Margarine...sukari nasaga kabisa iwe kama unga...
Ikisha kuchanganyika vizuri from yellow colour ya Margarine to cream or white colour naweka mayai...then ikisha kuchanganyika fresh naweka unga wa ngano kdg kdg huku unamix. Then banking powder...arki or iliki ya unga...mpk paste inakuwa ya kiasi. Hapo unaweza kuongeza cocoa powder au maganda ya machungwa uloyagrate.
Unachoma for 40 to 45 minutes kwa 180°C
Wataalamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom