Tupike keki nzuri ya kawaida

Tupike keki nzuri ya kawaida

Hellow

Tupike keki ya kawaida ya kula tu nyumbani kwa hamu tu na maandalizi yake ni yakawaida kabisa

Kwanza tutaanza kuandaa vifaa vyetu
View attachment 3418238
Kisha tutaanza kuweka mayai matatu na kukoroga mpaka povu litoke
View attachment 3418241
Kisha nitaweka sukari kikombe kimoja kidogo ila mimi siku weka yote kuepuka sukari nyingi nayo ukiweks koroga mpaka uone mchanganyiko wako ni mzito pia mweupe
View attachment 3418243
Mchanganyiko wako uwe wa aina hii
View attachment 3418245
Baada ya hapo uta weka radha mimi nimetumia hii wewe una weza weka vanila ila mm naipenda hii keki ina kuwa ya kipekee zaidi
View attachment 3418247Ukiweka ivyo utaweka pia blue band kiasi cha kikombe kidogo ila mimi nimekadiria wewe kama sio mzoefu pima kwenye kikombe
Kisha koroka mpaka mchangiko wako uonekane smooth kabisa yaan soft
Kama hivi
View attachment 3418249
Kisha weka unga kiasi cha robo au kikombe kidogo kisha koroga tena mchanganyiko wako hakikisha hauna mabonge kabisa
View attachment 3418250
Kisha weka kwenye oven yako moto wa kawaida tu ila uwe una chungulia chungulia
View attachment 3418252
Na hii ndio keko yetu ya kula nyumbani sio ya biashara
😒😒😏😏😏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom