Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,562
Hahahaha ! Hongera sana Luteni kanali mwachiluwi wa kikosi Cha mapishiNdio ana kujaga 😂
Hahahaha ! Hongera sana Luteni kanali mwachiluwi wa kikosi Cha mapishiNdio ana kujaga 😂
Yaah inasikitisha kimtindo.Penzi la mda mfupi
Wafupi tumewakosea nini jamani? Hua tuko busy na mambo yetu hata mnapotokea 🙄Olu in Olu tumejua kwamba wewe ni mfupi kama Konde boi kupitia hiyo picha uliyoshika ladha ya Orange.
Kabisa 😂Hamna Kuremba😎
😂😂😂 kitoe iko cheo andika kingine pleasHahahaha ! Hongera sana Luteni kanali mwachiluwi wa kikosi Cha mapishi
Zaidi ya sanaYaah inasikitisha kimtindo.
Uje kweli bhna 😂Nakuja kula😅
Mkuu wa jeshi la upishi la JF?😂😂😂 kitoe iko cheo andika kingine pleas
Vyeo vya watu ivyo boss 😂😂Mkuu wa majeshi?
Usiogope, hata wewe unaweza kufika.Vyeo vya watu ivyo boss 😂😂
Ase mtanyookaUsiogope, hata wewe unaweza kufika.
Napenda sana cake ya orange au chocolate cake.Hellow
Tupike keki ya kawaida ya kula tu nyumbani kwa hamu tu na maandalizi yake ni yakawaida kabisa
Kwanza tutaanza kuandaa vifaa vyetu
View attachment 3418238
Kisha tutaanza kuweka mayai matatu na kukoroga mpaka povu litoke
View attachment 3418241
Kisha nitaweka sukari kikombe kimoja kidogo ila mimi siku weka yote kuepuka sukari nyingi nayo ukiweks koroga mpaka uone mchanganyiko wako ni mzito pia mweupe
View attachment 3418243
Mchanganyiko wako uwe wa aina hii
View attachment 3418245
Baada ya hapo uta weka radha mimi nimetumia hii wewe una weza weka vanila ila mm naipenda hii keki ina kuwa ya kipekee zaidi
View attachment 3418247Ukiweka ivyo utaweka pia blue band kiasi cha kikombe kidogo ila mimi nimekadiria wewe kama sio mzoefu pima kwenye kikombe
Kisha koroka mpaka mchangiko wako uonekane smooth kabisa yaan soft
Kama hivi
View attachment 3418249
Kisha weka unga kiasi cha robo au kikombe kidogo kisha koroga tena mchanganyiko wako hakikisha hauna mabonge kabisa
View attachment 3418250
Kisha weka kwenye oven yako moto wa kawaida tu ila uwe una chungulia chungulia
View attachment 3418252
Na hii ndio keko yetu ya kula nyumbani sio ya biashara
Actually ni mzuri sanaNapenda sana cake ya orange au chocolate cake.
Hio ya orange huwa naweka essence (arki) ya orange plus maganda ya machungwa nayagrate naweka na juice yake kdg sana.
Yummy
KabisaaKazini kwa mke wako kuna kazi
Hapo upate na soda ya baridi bwasheee,,,, na prefer coke 😅 😆
Unashiba mpka una geuza viatuHapo upate na soda ya baridi bwasheee,,,, na prefer coke 😅 😆