Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,323
- 508
Nimeikuta mada sehemu fulani. Ni kutokana na dharau za wakenya. Mara mlima Kilimanjaro upo kwao. Mara daraja la Kigamboni lipo kwao. Mara olduvai (fuvu la kale).
Kuhusu mlima kilimanjaro hata mimi ningekuwa na mamlaka ningejenga ukuta mpakani mwa kuingia kuelekea katika mlima Kilimanjaro. Sasa tungeona jeuri yao. Kwanza tunakosa mapato.
Mheshimiwa Magufuli piga ukuta ili hao wazungu wajue na watambue kuwa mlima Kilimanjaro upo Tanzania. Na kama linawezekana bora iwe hivyo. Kwanza hata huo ukuta utakuwa kivutio na utatuingizia fedha za kigeni.
Ni mawazo tu.