Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,714
- 45,103
- Thread starter
- #121
Man city form yake mbovu
Second season syndrome kwa City kama ulivyosemaMtoa mada naomba nikukumbushe, EPL kuna kitu kinaitwa "Second season syndrome" yaani homa ya msimu wa pili.
Timu nyingi bingwa zinakumbwa na huu ugonjwa wa kushindwa kutetea taji kwa msimu unaofata. Zinakamiwa sana, halafu zinakumbana na ule uchovu wa kuchukua ligi msimu uliopita.
Ndio maana haishangazi kuona tunaenda mwaka wa 10 sasa hamna timu iliyotetea taji lake pale epl toka Man Utd ya Sir Alex ilivyofanya hivyo msimu wa 2008/2009.
Ila kwa upande mwingine sioni wa kumzuia Man City, maana Liverpool inayopewa na nafasi naona nao hawana bahati, wamekuwa ni wakimbiza mwenge tu.
Big up!!1. Spurs
2. Man City
3. Liverpool
4.
Aise-Nor!Fomu ya Arsenal inatishia
Man Utd anaingia top 4 leo kwa mara ya kwanza
Hivi mpira unafatilia kweli mzeeLiver
Tote
Man U
Man City
Droo ipi ulimaanisha? Ya kabati auKesho Chelsea anatoa droo vs Man City. Ana retain number 4 on goal difference.
Chelsea hata bure hawaingii top fourMan City
Liverpool
Chelsea
Man Utd
Hivi mpira unafatilia kweli mzee
cityzen chairman am here
mpaka sasa mbona man city kashapoteza game tayari mzeethe issue is top 4 bob, na hali inaensa vyema, japo natamani kuona city ikipoteza angalau game 4 ili kelele ziishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Salute.. Umetsha mkuu1.Man city
2.Liverpool.
3.Tottenham.
4.Man United.
1.Man city
2.Liverpool.
3.Tottenham.
4.Man United.
Ataingia Spurs? Arsenal? Bournamouth? Everton?
Ndio ila bado hazitoshi. Inabidi kasi yake iendelee kupunguzwampaka sasa mbona man city kashapoteza game tayari mzee
Au man city gani au chelsea
cityzen chairman am here
Wachaa tuangalia mambo yanavokwenda.