MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Chelsea kumfunga arsenal ngumu akijitahidi sare.Hahaha, kwa Arsenal ndo msimu umeisha, Chelsea anamkalia wiki ijayo. Hapo ndo atabaki anaitafuta Yuropa.
Chelsea kumfunga arsenal ngumu akijitahidi sare.Hahaha, kwa Arsenal ndo msimu umeisha, Chelsea anamkalia wiki ijayo. Hapo ndo atabaki anaitafuta Yuropa.
Arsenal ni ya 15 kwa sasa, next weekend mtaingia kwenye relegation zone.Chelsea kumfunga arsenal ngumu akijitahidi sare.
Mizunguko mi2 tu unatutishia hivyo mkuu. Haiwezekani.Arsenal ni ya 15 kwa sasa, next weekend mtaingia kwenye relegation zone.
Yaaan arsenal amfunge cherlsea nyumban??? Arsenal ahesabu maumivuui tena makali,,, polen sanaArsenal ni ya 15 kwa sasa, next weekend mtaingia kwenye relegation zone.
Man utd
Liverpool
Man city
Chelsea
Man u ikimaliza ya pili msimu unaofuata inatwaa ubingwa. Naamini itakuwa ni hivyo msimu huu piaAsante na mm top 4 yangu ni hiyo yako mkuu wangu
Man u ikimaliza ya oiki msimu unaofuata inatwaa ubingwa. Naamini itakuwa ni hivyo msimu huu pia
Tumeyaona mkuuUtayaona kuanzia jumapili
Man CityBaada yak ila timu kucheza mechi moja moja sasa ebu leteni top 4 zenu baada ya kuona kiwango cha kila timu
Hii ndio yenyewe..atakaepinga hili akapimwe mkojo1.chelsea
2.man city
3.liverpool.
4.Arsenal..
mwenye screenshot na aweke
Naona utabiri wako wa Mourinho kufukuzwa u karibu kutimia.Baada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.
Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man Utd wanaonekana kama hawana furaha sana na timu yao, wakichagizwa na kutokufanya kwao usajili mkubwa katika majira haya ya kiangazi.
Baadhi ya timu nyingine zimejiimarisha vizuri, Arsenal wana kocha mpya na wachezaji wapya baadhi, Man City bado wana kikosi kipana na wamemuongeza Mahrez. Liverpool nayo imejiimarisha katika idara mbalimbali ikiwemo golini kwa kumleta Alison Becker toka As Roma. Chelsea wana mwalimu mpya Maurizio Sarri.
Ifuatayo ni Top 4 yangu kuelekea msimu mpya wa 2018/2019.
1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Man Utd
Na Mourinho atakuwa kocha wa kwanza kutimuliwa katika vilabu vikubwa pale EPL.
Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!