Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19


FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,034
Likes
3,031
Points
280
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,034 3,031 280
Baada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.

Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man Utd wanaonekana kama hawana furaha sana na timu yao, wakichagizwa na kutokufanya kwao usajili mkubwa katika majira haya ya kiangazi.

Baadhi ya timu nyingine zimejiimarisha vizuri, Arsenal wana kocha mpya na wachezaji wapya baadhi, Man City bado wana kikosi kipana na wamemuongeza Mahrez. Liverpool nayo imejiimarisha katika idara mbalimbali ikiwemo golini kwa kumleta Alison Becker toka As Roma. Chelsea wana mwalimu mpya Maurizio Sarri.

Ifuatayo ni Top 4 yangu kuelekea msimu mpya wa 2018/2019.

1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Man Utd

Na Mourinho atakuwa kocha wa kwanza kutimuliwa katika vilabu vikubwa pale EPL.

Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,263
Likes
3,041
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,263 3,041 280
sasa usiseme kupoteza game sema hivi ashuke daraja hapo sawa

cityzen chairman am here
aaa najua kushuka daraja haiwezekani hata apoteze mechi zote zilizobaki. Siwezi kumuombea mabaya sana maana alitupigia chelsea juzi so as man u fan nikafurahi
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
214
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
214 140 60
aaa najua kushuka daraja haiwezekani hata apoteze mechi zote zilizobaki. Siwezi kumuombea mabaya sana maana alitupigia chelsea juzi so as man u fan nikafurahi
ww man u
ha ha ha ha ha

Jiandae mzee kulamba dawa

cityzen chairman am here
 

Forum statistics

Threads 1,262,318
Members 485,561
Posts 30,120,598