Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

Vum vum.........hebu weka na kile unachomeka njiti ya kibiriti ktkt.......then unakizungusha chini kwenye sakafu...........
ngoja nifanye hivyo
 
Maarufu sana nyanda za juu kusini. Nimecheza sana, cha ajabu eti Sikumbuki jina. Watoto wa siku hizi wanakosa uhondo.
 
nilikuwa nafumua nyuzi za mifuko/ magunia madogo 25-50kg. Tutaje pia ilikuwa miaka gani tunachezea hivi vifaa, teh....teh!
Mimi nimecheza miaka ya 1994 hadi 1999
 
basi tulikua tunavichoma halafu tunavinoa kisha tunashindana kukata kamba aisee
Unakinoa kisoda kinakuwa kama wembe mpaka Wenzio wanakataa kushinda na wewe kukata kamba,sababu unashinda tuu.
 
Mwanza tulikuwa tunaita NDUTI, 1992 na kuendelea nimecheza na kukata kata sana vitu ndan
 
Unakinoa kisoda kinakuwa kama wembe mpaka Wenzio wanakataa kushinda na wewe kukata kamba,sababu unashinda tuu.
kweli kabisa mkuu mimi nlkuwa naweka kwenye reli ili treni ipite na kilale vzr
 
nilikuwa nafumua nyuzi za mifuko/ magunia madogo 25-50kg. Tutaje pia ilikuwa miaka gani tunachezea hivi vifaa, teh....teh!
Ilikuwa burudani murua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom