Tupia majina ya baa za kibongo

Itika place (Basihaya_Boko),
Tuleane Pub (Nyamagaro_Rorya),
Itogoro bar(Kisiwa cha mchangani_Kome.)
 
Hivi si wizara ya biashara ndio inaratibu usajili na utoaji leseni kwa baa zenye majina haya? Majina machafu kiasi hiki yanaakisi social governance tuliyonayo. Watendaji wa mitaa watuondolee huu uchafu.
 
Target.... Igo.... Shabaha... Jirani.... Ozone..... Ngalawa.... Malanja... Green palm... Burget....
 
Pale kwenye nyama choma blck 41 Dar palikuwa na mamba napo panaitwa hivyo
Paliitwa hivyo baada ya wale wachoma nyama kujitenga na ile bar ya mwanzo na kuhamia pemben kidogo. Kwa walikuwa wanawaambia wateja watoroke ile bar ya kwanza waje ile iliyoanzishwa pemben
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom